Kama CCM hamruhusu wananchi kuuliza maswali kwenye mikutano yenu basi mnamaliza pesa tu

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
CCM mnafanya mikutano mikubwa kujibu mambo kuhusu bandari; wengi wanauliza kwanini mtumie nguvu hivi? Si mbadili tu huo mkataba? Mkimaliza mikutano yenu hakuna anaeelewe.

Sasa waruhusuni waulize maswali ili mjue ni nini haswa kiko kichwani mwao wananchi.
 
Sasa waruhusuni waulize maswali ili mjue ni Nini haswa Kiko kichwani mwao wananchi.[emoji419][emoji375]
 
 
Hawana majibu. Hawakujiandaa na kuvuja Kwa mkataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…