Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Nimeona madudu yanayoibuliwa na Makonda na kushangiliwa sana na watu wa CCM wakiona kama Makonda ndiye CCM na taasisi na wengine wote ni Chauma au UDP.
Labda niwakumbushe watu wa Arusha, haya anayo yaibua Makonda ndiyo madhaifu ya serikali ya CCM. Rushwa, ubadhilifu, kunyima haki raia, matumizi mabaya ya madaraka nk.
Ila haya kwa vile hapo Arusha yalikuwa yanasemwa na Lema wa Chadema asiye madarakani mlikuwa mnaona hayana maana lakini kasema aliye madarakani mnaona yuko sahihi.
Ndiyo mjue hiyo CCM ni uozo na ni kurudi kwenye ujinga kuipigia kura tena.
Ni kweli wanaiba kura, lakini kama hata hizo kidogo hawatapata wataibaje zingine.
Asante sana Makonda aka Bashite kwa kuonyesha ubovu wa chama mfu.