Kama CCM wataendelea na Urasimu huu, wategemee kupoteza mitaa na vijiji vingi!

Huku kwetu uswàhilini ati kashinda muhindi! Kwakweli hii ni dharau iliyopita kiasi. Huyo muhindi hata mjumbe wake tu hamjuwi, njaa mbayà sana.
 
Ni kweli mimi nilitamani kwa minong'ono ya hali kisiasa kwasasa inchini CCM ilitakiwa iweke watu wanaouzika ili ushindi uwe usio kuwa na walakini yoyote.
 
Nilikuwa na maoni kama hayo...
 
CCM ni ukoo wa panya ni itaendelea kuwa hivyo hadi Yesu atakaporudi. Kwa CCM kila mtu ni mwizi, kianzia kwa babu, baba, mtoto, mjukuu, kilembwe hadi kining'ina. CCM hata iongozwe na malaika, haina jipya kwenye suala la.rushwa na ufisadi.
Mkuu;
Unajuaje kama Yesu atarudi? Imani yake isiwe ndio mawazo kwa wengine!

Ni kweli ndani ya CCM bado kuna rushwa na kupambana nayo mpaka kuimaliza ni kazi kubwa sana!
 
Hakuna kitu kama hicho!

Hii dhana unayosema hata mwaka 2014/2015 tulikuwa tunaambiwa lakini kilichotokea wapinzani walipata viti vingi tokea kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi.
Miaka hiyo tulikuwa hatujijui. 2019/2020 ukiisha pita kwenye mchujo wa ndani wa chama weye tiyari umeshinda. Huyo mpinzani atasema ametoa wapi hiyo sauti ya kujitangaza
 
Mnahalalisha kufeli kwenu eti mabavu. Muulize Lissu. Mara ya kwanza alichonga sana Ulaya na wakamsikiliza wakiamini anachoongea kina mashiko. Akafikiri wazungu ni nyumbu kama ninyi kumbe wao wanatafiti kuthibitisha. Wamegundua ukweli kuwa Lissu ni mropokaji na hana ukweli wowote wa kuonewa wala kugandamizwa. Matokeo yake sasa hivi wamempuuz. Hata wewe umempuuza ndio maana hamuandiki tens habari zake humu. Hii yote inadhihirisha Jiwe yuko imara na hatetereki. Na kwa taarifa yako na wenzako,kiendeleza siasa zenu za kinyumbu, MTAPOTEA KABISA KWENYE SIASA ZA TANZANIA. Jipangeni upya.
 

Hapa naona umekuja na furushi la maneno ambalo haifahamiki unatuhumu, unakosoa au unapamba. Tenga hoja zako zieleweke unachangia nini. Kwa maneno marahisi hapa umepika ugali kisha ukageuza mafuta ya taa kuwa ndio mboga.
 
Hapa naona umekuja na furushi la maneno ambalo haifahamiki unatuhumu, unakosoa au unapamba. Tenga hoja zako zieleweke unachangia nini. Kwa maneno marahisi hapa umepika ugali kisha ukageuza mafuta ya taa kuwa ndio mboga.
What did I expect from a nyumbu than this!!
 
Hapa hatufagilii wauza face kama ww, kama unatoa jicho sio wote tunatumia hiyo huduma ya jicho boss.
Tindo, nili ignore kwasababu hujajenga hoja. Ukifanya hivyo, nitakujibu. By the way, Lissu anaongea lini na US Congressmen! Ahahahahahah!
 
Tindo, nili ignore kwasababu hujajenga hoja. Ukifanya hivyo, nitakujibu. By the way, Lissu anaongea lini na US Congressmen! Ahahahahahah!

Nasema hivi situmii hiyo huduma ya samadi, ni bora uwapelekee wanaohitaji.
 
Hiyo ya samadi si ipo Ufipa. Nasikia ushakuwa na mtaro! Maskini Tindo. Subiri wa ughaibuni arudi akusaidizie.

Nasema hivi, kama ulitarajia utapata mabasha kirahisi hapa jukwaani basi umechemsha. Kama bashaako amekumwaga kaongee na wadhamini wako wa ndoa mpatanishwe.
 
Nasubiri niwashangae watakaopigia kura mgombea yeyote wa ccm mwaka huu na ujao. Hoja za wahujumu uchumi,ndege na mabarabara ni nyepesi kama unyoya.
 
Majizi Yanaibiana yenyewe kwa yenyewe yanakuja JF kulia lia
Tukusaidieje sisi sasa kwa Mfano ???
Mkuu;
Wewe soma tu thread baada ya kusoma endelea na mambo mengine! Haya mengine tuachie sisi!
 
Tuliwaonya mapema kuwa mkiuuwa upinzani, mtabaki kuumizana na kukanyagana. Ona sasa kiburi cha kubaki peke yenu, hakuna hofu tena.
Upinzani unakufa wenyewe!

Kumbuka hata waasisi wa CCM walisema, ''Mpinzani wa kweli atatoka CCM''
 
Mkuu;
Malalamiko ni mengi sana nchini kuhusu kura za maoni ndani ya CCM!
 
Mkuu;
Wewe soma tu thread baada ya kusoma endelea na mambo mengine! Haya mengine tuachie sisi!
Mkuu tukisamaga nyie ni Majizi huwaga mnatubishia Sana
Sasa ona Mwenyewe
Poleni Sana Mkuu
 
Mkuu;
Acha kuwafundisha Moderators kazi zao kama unadhani unaweza kufanya unavyotaka wewe basi omba kazi ya kuwa moderator!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…