Kama CHADEMA hawakuwapitisha Mdee na wenzake kwanini hawafungulii kesi ya kugushi?

Kama CHADEMA hawakuwapitisha Mdee na wenzake kwanini hawafungulii kesi ya kugushi?

Hoja ya urahisi wa kumaliza ubunge wao umeshaitelekeza?

..Ni rahisi Cdm kuwafukuza uanachama kuliko kuwafungulia mashtaka wao, Nec, na Bunge.

..wakienda mahakamani wakakwama hudhani kwamba it is going to a big mess kurudi kwenye chama na kuwafukuza?
 
CDM hawaipangii mahakama iamue vipi maana maamuzi ya mahakama hayaagizwi na CDM. Wao CDM wanasimamia wanachokiamini sio kinachoaminiwa na mahakama.

Mahakama ikikataa hoja za CDM, hiyo ndiyo record rasmi itakayokuwepo. Najua hiyo sio aina ya record ambayo CDM wanakusudia ifahamike.
 
..Ni rahisi Cdm kuwafukuza uanachama kuliko kuwafungulia mashtaka wao, Nec, na Bunge.

..wakienda mahakamani wakakwama hudhani kwamba it is going to a big mess kurudi kwenye chama na kuwafukuza?

Hakuna tofauti yoyote; ni order tu inabadilika (kipi kianze, kipi kifuate). Kazi ya kufukuza wameifanya na mahakamani wamefika!
 
Hakuna tofauti yoyote; ni order tu inabadilika (kipi kianze, kipi kifuate). Kazi ya kufukuza wameifanya na mahakamani wamefika!

..wamekwenda mahakamani kwasababu wameshitakiwa.

..mahakama ya Tz kwa kiasi kikubwa haitendi haki kwa vyama vya wapinzani.

..binafsi sivishauri vyama vya upinzani kupeleka mambo yao mahakamani. Cuf walijaribu matokeo yake tunayajua.
 
They have to adapt to their operating environment. Hakuna namna nyingine; wasipofika mahakamani kwa kushitaki, watafika kwa kutashitakiwa!
 
Hatujali mahakama itasema nini, bali uamuzi wa CDM umeshafanyika kuwa hao wahuni sio wabunge wake, fullstop.

This defies any logic. Kwanza, tayari mnaamini mahakama haitatenda haki. Pili, hamjali mahakama itasema nini. Mnapoteza kufanya utetezi mahakamani ili iweje labda?
 
Heshima sana wanajamvi,

Ikiwa Mdee na genge lake waligushi nyaraka na hatimaye wakafanikiwa kuwa wabunge !.

Ni kwanini mpaka leo chadema hawajawafunguliwa Mdee na wenzake kesi ya kugushi !.

Ikiwa Wakili Msomi Kibatala na wenzake walijua kama mapingamizi yao yangesababisha kesi ya Mdee kutupwa lakini hapo hapo walikuwa na nafasi ya kufanya marekebisho na kesi kuanza upya. Hawakuona walikuwa wanatoa nafasi ya kesi kuchukua muda mrefu zaidi ?.

Nadhani kuna shida hapa lakini hatuambiwi ukweli.

Ngongo kwasasa Kigali.
Kugushi ni jinai, kesi ya jinai mahakamani inaweza tu kufunguliwa na jamhuri kwa maana ya DPP sio CDM au Kibatala na hilo ni kaa la moto kwa sababu ndiko ukora wote na uharamia wa serikali ulikojificha, a Boer can never commit suicide! ni sawa na kujitia kitanzi shingoni, wataendelea kulikwepa hilo mpaka Yesu Kristo arudi! Kifupi watu wengi wanaujua ukweli wa kilichojiri kuhusu ujio wa hao Covid19, lakini due process lazima ichukue mkondo wake! Magufuli kesha kufa na ndie muasisi wa mkakati huo wa kuteka na kununua wapinzani, kina Mzee Halima Mdee kuna siku watafunguka na kulimwaga hadharani kilichowasibu lakini kwa sasa tuache danadana iendelee, kila kitu hutokea kwa sababu moja au nyingine, Muda utaongea!
 
They have to adapt to their operating environment. Hakuna namna nyingine; wasipofika mahakamani kwa kushitaki, watafika kwa kutashitakiwa!

..wao wamechagua option ya pili, kwamba watafika mahakamani ikiwa watashtakiwa.
 
This defies any logic. Kwanza, tayari mnaamini mahakama haitatenda haki. Pili, hamjali mahakama itasema nini. Mnapoteza kufanya utetezi mahakamani ili iweje labda?

Narudia tena, CDM hawakwenda mahakamani kwa kesi yoyote, wao ni washitakiwa. CDM wako mahakamani kuweka rekodi sawa kuwa hao wahuni sio wanachama wake. Mahakama ndio chombo cha kisheria hata kama hatuna imani nacho, hivyo wameitikia wito. Ni kipi huelewi hapo?
 
Hata wewe unaweza kwenda kuwashitaki tu. Si na wewe ni Mtanzania?

Kama wewe ni CHADEMA, jitahidi upeleke taarifa polisi ili wakamatwe na uende kuwa shahidi wa Jamhuri kesho huko mahakamani!

Unaandika tu kana kwamba hujui siasa na justice system ya Tanzania ilivyo very compromised hususani mara tu Jiwe alipoingiaga madarakani mpaka leo na baada ya kufa kwake ndiyo mdogo mdogo healing imeanza kutokea...

Na kumbuka hili mazee;

Siasa za Bongo ni lazima uende kwa mkakakati na siyo kwenda kichwa kichwa tu. CHADEMA wanajua wafanyavyo. Kwa muda tusiodhania, wahusika watajinyonga wenyewe bila hata kupelekwa mahakamani. Wenzako hawaendi kichwa kichwa tu kwa kelele zenu...

Na pia kumbuka, hakuna jinai inayoozaga. Kama kuna kughushi, obvious litajulikana tu kwa wakati wake na wahusika popote watakapokuwa watawajibika kwa makosa yao...
Fact,asante kwa ufafanuzi mzuri.
 
Najua mnaogopa ila kesi ya kuvuliwa uanachama inaenda sambamba na sababu ya kuvuliwa uanachama. Mdee na wenzake wataweka kila kitu wazi kuanzia barua ya kwenda bungeni alisaini nani mpaka baraka alizotoa Mbowe watazisema wamekaa kimya mmewahukumu subirini na wao waongee mtaficha sura zenu mashabiki wa Mbowe
Acha ndoto zisizo na faida wewe.
 
Narudia tena, CDM hawakwenda mahakamani kwa kesi yoyote, wao ni washitakiwa. CDM wako mahakamani kuweka rekodi sawa kuwa hao wahuni sio wanachama wake. Mahakama ndio chombo cha kisheria hata kama hatuna imani nacho, hivyo wameitikia wito. Ni kipi huelewi hapo?

Kwenye civil case hulazimiki kuitika wito wa mahakama kama unaamini utetezi wako hautabadili outcome ya shauri. Kwenda kutoa utetezi ni kupoteza muda. Kama ni kusema Mdee na wenzake sio wanachama wa CDM, mmeshasema zaidi ya mara elfu moja!
 
Dj ametulia mahali tuliiiiiii na bakuli la asali anawachora tu makamanda wanavyo vimba.

Dj anajua mchongo ndio maana anapoza poza pressure kiakili sana.
Huyu mtu anachafuliwa sana . Ila haiwezekani kwann anahusishwa na mambo ya hovyo kwa upuuzi wa wanaccm?
Kina ngwali walivyofukuzwa tu na CUF wakatolewa bungeni hapakuwa na ngonjera
 
Huyu mtu anachafuliwa sana . Ila haiwezekani kwann anahusishwa na mambo ya hovyo kwa upuuzi wa wanaccm?
Kina ngwali walivyofukuzwa tu na CUF wakatolewa bungeni hapakuwa na ngonjera
Kwa covid kuna ngonjera ndiomana unaona mapichapicha.
Kikulacho kinguoni mwako kunamtu ndani ambae anayumbisha dishi ndiomaana chenga haziishi.

Anawachora tu.
 
Back
Top Bottom