CHADEMA wanapofungua kesi, wanawashitaki:
[emoji828]️Mdee na wenzake kama walalamikiwa wa kwanza
[emoji828]️NEC kama mlalamikiwa wa pili
[emoji828]️AG kama mlalamikiwa wa tatu
Kesi wanayofungua CHADEMA ni ya kupinga uhalali wa ubunge wa Mdee na wenzake, kwa mtindo uleule unaotumika kupinga ubunge wa wabunge wa majimbo. Hoja ya CHADEMA ni kwamba hakijawahi kufanya nomination ya mwanachama wake yeyote ili ateuliwe na NEC kuwa mbunge wa viti maalumu.
Walalamikiwa wanao wajibu wa kutetea uhalili wa ubunge wa Mdee na wenzake. Kama hawana utetezi, ubunge wa walalamikiwa wa kwanza lazima utenguliwe. Kama wana utetezi, basi issue ya kugushi, if any, lazima itakuwa bayana.
..Njia unayopendekeza wewe ni ngumu.
..Cdm wamerahisisha kazi ya kuwaondoa kina Halima bungeni kwa kuwafukuza uanachama.