Kama chadema wameanza kutoa maelekezo wanachama watoke mbali kuhudhuria mikutano yao, kwa kweli CHAUMA kina meno, kimewauma mpaka kwenye mfupa

Kama chadema wameanza kutoa maelekezo wanachama watoke mbali kuhudhuria mikutano yao, kwa kweli CHAUMA kina meno, kimewauma mpaka kwenye mfupa

Sijui macho yangu yanaona vizuri ? Hawa ni ng'ombe wa mama wakiwa kwenye Lori.

Screenshot_20250606-192915.png
 
Chaumma kimekamata siasa za nchi. Taarifa niliyopata ni kwamba chama kimeagiza viongozi wake waitishe wana chama kutoka maeneo ya mbali na hata wilaya jirani wahudhurie mikutano yao. Lengo ionekane imejaa.

Chauma wanawauma kwa meno makali, wanawajua kwa mbinu zao na wanawapigia hapohapo. Kuna hofu ya dhahiri wanayoificha hawa chadema
Duh, hahahahaaaa
 
Back
Top Bottom