Uchaguzi 2020 Kama chama kikuu cha upinzani uwezo wake ni kugombea kwenye majimbo 163 kati ya 214 yaliyopo kuna haja ya wapinzani kushirikiana!

Mkuu Yohana Mbatizaji, kiukweli nimetokea kuipenda objectivity yako.
Hili unalolizungumzia kuhusu uwezo wa Chedema kutawala nchi, tumeisha lijadili sana humu tangu ile 2015, nothing has changed
CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015
P
Mzee maonesho ya 88 yanaendeleaje? Nikiwa nakuangalia kwenye tv , niki relate unavyobishana na wajukuu zako humu jf huwa nabaki mdomo wazi.
 
Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50..

Usitumie kufikiria kwa kiungo cha kutolea uchafu mavi.
Wamekwambia hiyo ni toleo la kwanza

Kibamba
Kinondoni
Kilombelo
Mbagala
Kondoa
Kilosa
Unadhani haya majimbo wameshindwa kuweka kweli? Au watu hawapo? Fikiria kabla ya kusema
 
Mkuu nenda kwenye page ya Mnyika kule facebook uone maoni ya raia kwenye kile kipande cha hotuba ya Lisu jana pale dodoma.

Chadema imekimbiwa
Walio bize kutoa maoni ya kupinga upinzani ni wale wanao lipwa pesa kama wewe. Nadhani mtu mmoja anaaccount mia fb. Kazi yake ni kubadili tu maoni. Vipi we unazo ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jidanganye!

Lisu katika maoni ya mitandaoni anapendwa na watu wachache sana wa hapa jf
 
Majina yaliyotolewa ni ya awali tu , mengine yenye rufaa ama makandokando mengine yatakufikia muda si mrefu , chadema imeweka wagombea kwenye majimbo yote ya Tanganyika
Acheni adventurism attitude, kuna wagombea wengi wa Chadema tunawajua; ni mapoyoyo. Quality of candidates matters. Ubora wa wagombea wa upinzania utatokana na kushirikiana baina yao.
 
Usitumie kufikiria kwa kiungo cha kutolea uchafu mavi.
Wamekwambia hiyo ni toleo la kwanza

Kibamba
Kinondoni
Kilombelo
Mbagala
Kondoa
Kilosa
Unadhani haya majimbo wameshindwa kuweka kweli? Au watu hawapo? Fikiria kabla ya kusema
Wewe unayefikiria kwa kutumia njegere majimbo yenu yana awamu safari hii!
 
Hata hao 214 waliotangazwa ni wasindikizaji tu. Ni kama wameua soo ili kushiriki tu lakini hamna watachopata. Angalia mgombea waliomuweka Nyamagana hata udiwani hawezi kupata.
 
KATIKA ORODHA ILIYOTOLEWA NA CHADEMA PALE CHINI MWISHO WAMEANDIKA KUWA ORODHA NYINGINE ITAFUATA. SASA SIJUI LENGO LENU NI NINI KAMA SIYO KUPOTOSHA.INA MAANA HUO MSTARI HAMJAUSOMA HAPO CHINI MWISHO WA FOMU.
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, kiukweli nimetokea kuipenda objectivity yako.
Hili unalolizungumzia kuhusu uwezo wa Chedema kutawala nchi, tumeisha lijadili sana humu tangu ile 2015, nothing has changed
CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015
P
Kumbe na wewe huwa unafuata mkumbo.katika orodha hiyo mwisho kuna mstari unasema hiyo ni orodha ya awali,nyingine itafuata baadae.umakini ungeweka akiba ya maneno.au ungeweza kukujiridhisha kutoka kwa viongozi wa chadema.tatizo uko biased sana.huna balansi,pengine uko kazini kumtumikia bwana wako.
 
KATIKA ORODHA ILIYOTOLEWA NA CHADEMA PALE CHINI MWISHO WAMEANDIKA KUWA ORODHA NYINGINE ITAFUATA. SASA SIJUI LENGO LENU NI NINI KAMA SIYO KUPOTOSHA.INA MAANA HUO MSTARI HAMJAUSOMA HAPO CHINI MWISHO WA FOMU.
Tangu lini Chadema mmeanza kuleta habari nusu nusu!
 
Tangu lini Chadema mmeanza kuleta habari nusu nusu!
Mkuu kasome ile fomu mwishoni.siandiki kwa ushabiki vitumbua km wewe.sipendagi propaganda zisizo na mashiko.wao ndio wamesema hivyo kuwa orodha nyingine itafuata. na wenye akili wanasubiri na baada ya muda kama hawatatoa ndio unaweza kuandika ulichoandika na kikawa na mashiko.hata mm ntakubaliana na wewe.
 
Hahahaaaa..... unaonyesha una hasira sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…