Uchaguzi 2020 Kama chama kikuu cha upinzani uwezo wake ni kugombea kwenye majimbo 163 kati ya 214 yaliyopo kuna haja ya wapinzani kushirikiana!

Uchaguzi 2020 Kama chama kikuu cha upinzani uwezo wake ni kugombea kwenye majimbo 163 kati ya 214 yaliyopo kuna haja ya wapinzani kushirikiana!

Mkuu nenda kwenye page ya Mnyika kule facebook uone maoni ya raia kwenye kile kipande cha hotuba ya Lisu jana pale dodoma.

Chadema imekimbiwa
Unazungumzia wale wapuuzi wenu mliopandikiza huko wanaotukana tu bila hoja??
 
Hasira kwani umenichukulia make.tatizo siasa zetu km Simba (mnyama mkali) na Yanga (utopolo aka vyura SC)
 
Back
Top Bottom