Na katika hao 163,Kuna waliookotwa barabarani ili mradi wapate mgombeaKwa maana hiyo utaona umuhimu wa vyama vya upinzani kuweka itikadi pembeni na kushirikiana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na katika hao 163,Kuna waliookotwa barabarani ili mradi wapate mgombeaKwa maana hiyo utaona umuhimu wa vyama vya upinzani kuweka itikadi pembeni na kushirikiana.
ACHA UONGO CHADEMA WAMESIMAMISHA WAGOMBEA MAJIMBO YOTE 214 TANZANIA BARA
Unazungumzia wale wapuuzi wenu mliopandikiza huko wanaotukana tu bila hoja??Mkuu nenda kwenye page ya Mnyika kule facebook uone maoni ya raia kwenye kile kipande cha hotuba ya Lisu jana pale dodoma.
Chadema imekimbiwa
Jitahidi urudi nyumbani kwa shemeji yako maana misosi ni kwa kengereHahahaaaa....... Lindi kuchele bwashee!
Ma uvccm mmechanganyikiwaNa katika hao 163,Kuna waliookotwa barabarani ili mradi wapate mgombea