Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Hakuna neno maccm yanaogopa kulitaka kama neno TanganyikaMajina yaliyotolewa ni ya awali tu , mengine yenye rufaa ama makandokando mengine yatakufikia muda si mrefu , chadema imeweka wagombea kwenye majimbo yote ya Tanganyika