richard kaswalala
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 246
- 134
Wapiga kura hawako Facebook au huku Jukwaani.Wako kwa mamilioni huko vijijini tena wengine hata simu ya kitochi hawana.
CDM itasimamisha wagombea majimbo yote 214 na kata zote 3672. Hayo matokeo yametolewa kwa awamu tukianza na majimbo 163 na tutamaliza na yaliyobaki hivi punde. CDM HOYEEEE!Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50.
Chadema imetangaza kuweka wagombea katika majimbo 163 sawa na 76% ya majimbo yote ya Tanzania bara.
Hivyo basi uwezekano wa Chadema kuunda serikali ama ni finyu sana au haupo kabisa kwa sababu hadi sasa kuna majimbo 51 haina wagombea achilia mbali watayofeli katika hayo 163.
Kwa maana hiyo utaona umuhimu wa vyama vya upinzani kuweka itikadi pembeni na kushirikiana.
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Ngoja tuone!CDM itasimamisha wagombea majimbo yote 214 na kata zote 3672. Hayo matokeo yametolewa kwa awamu tukianza na majimbo 163 na tutamaliza na yaliyobaki hivi punde. CDM HOYEEEE!
NimekunukuuuKumbe hujui...
Mimi mwenzenu zamani...
Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge
Mimi kwa sasa ni Kada.
Yaani watu wa UVCCM, UWT, WAZAZI na CCM kwa ujumla mnavyopenda ushirikina, mpaka mnakera kwa kweli.Yasemekana mmemchagua Mshana Jr. Kuwa Mganga wa Chama ilihali yeye mwenyewe ana kadi ya ACT WAZALENDO [emoji23]
Zanzibar mwaka 2015 mlichukua majimbo yote nini mlichowafanyia wananchi?Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50.
Chadema imetangaza kuweka wagombea katika majimbo 163 sawa na 76% ya majimbo yote ya Tanzania bara.
Hivyo basi uwezekano wa Chadema kuunda serikali ama ni finyu sana au haupo kabisa kwa sababu hadi sasa kuna majimbo 51 haina wagombea achilia mbali watayofeli katika hayo 163.
Kwa maana hiyo utaona umuhimu wa vyama vya upinzani kuweka itikadi pembeni na kushirikiana.
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Ungemwacha huyu mpiga zumari wa lumumbaMajina yaliyotolewa ni ya awali tu , mengine yenye rufaa ama makandokando mengine yatakufikia muda si mrefu , chadema imeweka wagombea kwenye majimbo yote ya Tanganyika
Ukweli usiyo na shakaRaia makada wenu mnaowapa bundle kutuliza upepo mtandaoni. Achana na Facebook mambo yote huku watu wana fake Id huwezi jua nani ni nani. Huku ndo kuna mawazo huru!!
Hii inawaumiza sana magamba
Lisu kakataliwa dogo, huoni kwenye page ya Mnyika watu wanampiga mawe?Magamba mnajichetua chetu tu kama mazuzu tu, Tulieni dawa iwaingie vyema maungoni
Mkuu pale lumumba wanalipwa kutokana na idadi ya thread na jinsi gani umewatukana wapinzaniHuyu jamaa huwa anaona fahari kuanzisha nyuzi hata kama hazina kichwa wala miguu Ilimradi aongeze idadi ya threads alizoandika!
Wewe wachana na mambo ya siasa baada ya kupigwa za uppercut pale kaweMkuu Yohana Mbatizaji, kiukweli nimetokea kuipenda objectivity yako.
Hili unalolizungumzia kuhusu uwezo wa Chedema kutawala nchi, tumeisha lijadili sana humu tangu ile 2015, nothing has changed
CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015
P
Baada ya kura za maoni huwezi kumuona tena maana alikuwa anatafuta platform ya kumuongezea cvBuddy upo salama? Uliadimika humu jukwaani mpaka Star TV jana hukuonekana. Kulikoni!?
Huyo siku hizi hata ile akili aliyo kuwa amebakia nayo imekwisha yeyukaumekurupuka
Hiyo ndiyo kazi yake inayo muingizia mkate wake wa kila sikuMtoa mada anapotosha...
Ndiyo maana jiwe anachanganyikiwaNa watu watapiga kura za hasira.
Yupo kazini na nyumbani kwa shemeji yake kaaga anakwenda kaziniunalipwa bei gani kila uzi,maana kila dakika unatupia pumba
Unapenda kuamini kwa kuwa unajifurahisha. Uteuzi wa wagombea huwq haufanyiki kwa awamu. Alichokuwa anafanya ni ku-avoid maswali in advance juu ya sababu za chama kutoweza kuweka wagombea kwenye majimbo yote.KATIKA ORODHA ILIYOTOLEWA NA CHADEMA PALE CHINI MWISHO WAMEANDIKA KUWA ORODHA NYINGINE ITAFUATA. SASA SIJUI LENGO LENU NI NINI KAMA SIYO KUPOTOSHA.INA MAANA HUO MSTARI HAMJAUSOMA HAPO CHINI MWISHO WA FOMU.
Hahahaaaa....... Lindi kuchele bwashee!Yupo kazini na nyumbani kwa shemeji yake kaaga anakwenda kazini