richard kaswalala
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 246
- 134
Kumbe unalijua hilo.chadema mnapiga kelele sana sisi tunawachabo tuu .na mtaisoma namba.
Wapiga kura hawako Facebook au huku Jukwaani.Wako kwa mamilioni huko vijijini tena wengine hata simu ya kitochi hawana.