K kabombe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 26,153 Reaction score 18,740 Aug 10, 2020 #81 johnthebaptist said: Kwa maana hiyo utaona umuhimu wa vyama vya upinzani kuweka itikadi pembeni na kushirikiana. Click to expand... Na katika hao 163,Kuna waliookotwa barabarani ili mradi wapate mgombea
johnthebaptist said: Kwa maana hiyo utaona umuhimu wa vyama vya upinzani kuweka itikadi pembeni na kushirikiana. Click to expand... Na katika hao 163,Kuna waliookotwa barabarani ili mradi wapate mgombea
Irenga JF-Expert Member Joined Dec 14, 2015 Posts 2,639 Reaction score 1,873 Aug 10, 2020 #82 Anatomist said: ACHA UONGO CHADEMA WAMESIMAMISHA WAGOMBEA MAJIMBO YOTE 214 TANZANIA BARA Click to expand... Unaweza kunitajia Mgombea wa Kinondoni au Geita Mjini?
Anatomist said: ACHA UONGO CHADEMA WAMESIMAMISHA WAGOMBEA MAJIMBO YOTE 214 TANZANIA BARA Click to expand... Unaweza kunitajia Mgombea wa Kinondoni au Geita Mjini?
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Aug 10, 2020 #83 Crimea said: Mkuu nenda kwenye page ya Mnyika kule facebook uone maoni ya raia kwenye kile kipande cha hotuba ya Lisu jana pale dodoma. Chadema imekimbiwa Click to expand... Unazungumzia wale wapuuzi wenu mliopandikiza huko wanaotukana tu bila hoja??
Crimea said: Mkuu nenda kwenye page ya Mnyika kule facebook uone maoni ya raia kwenye kile kipande cha hotuba ya Lisu jana pale dodoma. Chadema imekimbiwa Click to expand... Unazungumzia wale wapuuzi wenu mliopandikiza huko wanaotukana tu bila hoja??
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Aug 10, 2020 #84 johnthebaptist said: Hahahaaaa....... Lindi kuchele bwashee! Click to expand... Jitahidi urudi nyumbani kwa shemeji yako maana misosi ni kwa kengere
johnthebaptist said: Hahahaaaa....... Lindi kuchele bwashee! Click to expand... Jitahidi urudi nyumbani kwa shemeji yako maana misosi ni kwa kengere
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Aug 10, 2020 #85 kabombe said: Na katika hao 163,Kuna waliookotwa barabarani ili mradi wapate mgombea Click to expand... Ma uvccm mmechanganyikiwa
kabombe said: Na katika hao 163,Kuna waliookotwa barabarani ili mradi wapate mgombea Click to expand... Ma uvccm mmechanganyikiwa
This is... JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 5,050 Reaction score 5,204 Aug 11, 2020 #86 Hasira kwani umenichukulia make.tatizo siasa zetu km Simba (mnyama mkali) na Yanga (utopolo aka vyura SC)
Hasira kwani umenichukulia make.tatizo siasa zetu km Simba (mnyama mkali) na Yanga (utopolo aka vyura SC)