Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Nimeuliza wewe dini gani mkuu?Yeah karibu mkuu... Andiko limeanza upande huo ila nitaleta na wale wa upande wa pili 😅😅😅
Au hauamini uwepo wa Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeuliza wewe dini gani mkuu?Yeah karibu mkuu... Andiko limeanza upande huo ila nitaleta na wale wa upande wa pili 😅😅😅
Sawa we ni dini ganiMaandiko yangu yote yanajieleza ya kwamba Mimi naamini uwepo wa nguvu kuu za ulimwengu, na nnajua uwepo wetu hapa duniani uko na chanzo ila hatujui msingi wake ni nini.
KakimbiaSawa we ni dini gani
Au ni Buddha
Hehehe hamna hajakimbia kaenda kujisaidia atarudi sasa hiviKakimbia
Go and search for these words: Origin, source, and nature.Enhee lete maneno.
Dhana nzima ya chanzo inahitaji muktadha. Kutumia neno chanzo bila muktadha, hata wa kukubali tu kuwa kauli hiyo ina uthabiti kiasi gani na margin of error gani, na imetoka katika epistemology gani, ni kujiwekea uhakika usiokuwepo.Bila shaka mko salama waungwana...
Kikawaida neno msingi na chanzo ni maneno mawili ambayo ukiangalia kwa jicho la kawaida ni kama yanafanana hivi lakini ni maneno yaliyo na utofauti mkubwa.
Kwa maana chanzo huwa kinatengeneza muendelezo usio na ukomo lakini msingi huwa unatengeneza muendelezo mgumu ambao huwa haueleweki pasipo kurudi tena kwenye msingi kwa maana nyingine ni kwamba msingi ndio unaounda vyanzo mbalimbali.
Ndio maana mkusanyiko wa vyanzo vingi vya habari fulani unaweza kuleta mkanganyiko wa mambo hasa inapotokea vyanzo vyote vinaongelea habari moja ila vinatofautiana katika taarifa zao, hii hufanya mtu ashindwe kuelewa aamini chanzo kipi kati ya hivyo, na ili kuondoa huu mkanganyiko basi mtu hupaswa arudi kwenye msingi wa habari yenyewe na baada ya kufanya hivyo basi ni rahisi kujua kati ya vyanzo hivyo ni kipi na kipi kimeandika habari kwa kuzingatia msingi wake.
Kwahiyo kuna nyakati neno chanzo hutumika zaidi kwenye mambo ambayo msingi wake haujulikani au uhakika wa moja kwa moja juu ya msingi wake haupo lakini msingi ndio ambao unabeba chanzo.
Lakini pia chanzo wakati fulani huwa kinakua na mbadala wake wakati msingi huwa hauna mbadala (ndio maana habari unaweza kuipata jamiiforum, milard ayo na media zingine ila msingi wa habari hiyo hauwezi kubadilika).
Kwamfano wewe ni chanzo cha watoto wako kuzaliwa na wao ni chanzo cha wajukuu zako kuzaliwa lakini pia wajukuu zako ni chanzo cha vitukuu kuzaliwa na hii itaendelea namna hii bila ukomo na wewe hujawa msingi kwasababu nyuma yako alikuwepo baba yako ambae alikua chanzo cha wewe kuzaliwa ila pia Kabla ya baba yako alikuwepo babu yako ambae yeye alikua chanzo cha baba yako kuzaliwa na hii itarudi nyuma katika umbali usio julikana na ndio maana tumetumia neno chanzo.
Lakini pia mtu ni roho, na kama hii ndio basi hizo roho ambazo wewe umezileta hapa duniani haimaanishi kwamba wewe ndio mtu pekee ambae unao uwezo wa kuleta roho hizo isipokua wewe uliwin tu kwenye ile probability ila usingezileta wewe basi angekuwepo mtu mwingine ambae angeweza kuzileta, na vivyo hivyo wewe kwa baba yako na baba yako kwa babu yako na kadhalika.
Kwahiyo neno chanzo linapotumika katika eneo lolote ujue tayari kuna hali isiyo na ukomo imetengenezwa kwa kwenda mbele au kwa kurudi nyuma kwa maana ule msingi kamili wa jambo hilo haujulikani au kuna namna mbadala ya jambo hilo kwenye kutokea kwake au kufanyika kwake ukiachana na namna hiyo ambayo imetumika.
Okay, wacha twende mbali kidogo, watu husema Mungu ni chanzo cha uhai, hii tayari ni sentensi ambayo haina ukomo, kwa kurudi nyuma au kwenda mbele, lakini pia kwa kusema hivi unamaanisha asingekua yeye basi chanzo cha uhai kingeweza kupatikana kwa namna nyingine.
Angalia hii, wewe ni chanzo cha mkeo kuolewa au tuseme ni chanzo cha ndoa yenu ila sio msingi wa hiyo ndoa kwa maana hata kama wewe usingemuoa basi angeweza kuolewa na mtu mwingine, na huyo mtu mwingine nae angekua tu chanzo ila wala sio msingi kwa maana huyo mtu mwingine asingemuoa basi angeolewa na mtu mwingine tena, kwahiyo hii unaona inakua ni infinity loop.
Kwahiyo kama Mungu ni chanzo cha uhai basi msingi wa uhai bado haujulikani na ukomo wa uhai huo huo haujulikani pia (naomba usome ukiwa katika utulivu wa akili ili unielewe vizuri hapa).
Hii inamaanisha nini? Hii inamaanisha kwamba ni eidha Mungu ni neno moja linalotumika kuwakilisha jamii ya viumbe fulani kama vile neno binadamu linavyotumika kutuwakilisha Mimi na wewe au ukiachana na Mungu basi kuna viumbe vingine venye uwezo wa kutoa uhai (wacha tusonge taratibu huku tukiongeza tafakuri juu ya tafakuri hapa).
Kama Mungu ni kiwakilishi cha jamii ya viumbe fulani kama lilivyo neno binadamu basi neno la tumfanye mtu kwa mfano wetu halitakua na maana yoyote iliyojificha zaidi ya lilivyo na limekuwepo pale kama uthibitisho wa kwamba Mungu ni neno la jumla linalowakilisha jamii fulani kama ilivyo kwa neno binadamu.
Na kwa uthibitisho zaidi wa jambo hili ni pale Mungu anaposema aabudiwe yeye na wala sio miungu mingine, hii inamaana anajua ya kwamba katika jamii ya kimungu hayupo peke yake.
Ni sawa na wewe utengeneze robot lako ikiwa wewe ndio mkuu wa mradi licha ya kwamba ndani yake kutakua na ma-engineer wengine ambao ni binadamu na ghafla ukaanza kuona yule robot anaanza kuwatii watu wengine kuliko wewe mkuu wa kitengo lazima urudi umwambie unaefaa kunyenyekewa ni wewe na wala sio binadamu wengine.
Kama hiyo haitoshi lakini pia kuna maeneo kadhaa Mungu alijitokeza kwa kujitambulisha ya kwamba yeye ni Mungu wa vita mara Mungu wa maarifa na kadhalika, hii sio bahati mbaya na wala huna haja ya kuilazimisha ikae kwa namna tofauti na hiyo kwa maana hivyo ndivyo ilivyo na hii inaweza kuthibitisha kwamba Mungu ni sawa na kusema binadamu (yote ni maneno yanayowakilisha jamii ya viumbe fulani).
Na kwa hoja hiyo sasa, ndio maana ukisema Mungu ni chanzo cha uhai inamaana si Mungu wote ambao walishiriki kwenye mradi wa kumpa uhai binadamu ila ni jopo tu la Mungu kadhaa ndio ambao walifanya hii project na ndio maana neno chanzo limetumika kwa maana ya kwamba kama hao waliokaa wasingekaa basi Mungu wengine wangeweza kukaa na kumpa uhai binadamu kama wangeamua kufanya hivyo.
Lakini kama tukiendelea kubaki na msimamo wetu wa kwamba Mungu ni mmoja na wala sio jamii ya viumbe fulani basi hapa tunaweza kuibua hoja mpya ya kwamba kumbe ukiachana na Mungu katika puzzle hii pia kunao uwezekano wa kuwepo jamii fulani ya viumbe wenye uwezo wa kutengeneza watu au kumpa mtu uhai, na kama kweli chanzo cha uhai kinaweza kubadilika kinamna hii basi uhai wenyewe hauna msingi thabiti.
Na hii ndio sababu ya neno chanzo kutumika badala ya neno msingi.
Najua kuna mtu hapa anaweza asielewe ila kama unataka uelewe zaidi unaweza Kutafakari kwa kina juu ya neno chanzo na msingi kisha ukishapata point urudi usome tena hili andiko.
Kwa mfano huwa tunasema chanzo cha mapato wala sio msingi wa mapato kwa maana kuna njia nyingi ambazo mtu anaweza akazitumia ili zimuingizie mapato.
Chanzo cha furaha yangu ni wewe, kwa maana usipokua wewe basi anaweza akawa mtu mwingine ambae anaweza akanipa hii furaha unayo nipa kwakua duniani binadamu haupo peke yako.
Chanzo cha Mimi kupata kazi ni wewe, hii inamaanisha hata usingekua wewe ningepata kazi kwa maana nisingekutana na wewe basi ningekutana na mtu mwingine ambae angekuwa chanzo kama ambavyo wewe umekua(kwa maana wewe si mtu wa kwanza na wa mwisho kuwa na connection au roho ya upendo wa namna hii).
Tengeneza msingi wa maisha yako, kwasababu wewe pekee ndio mwenye uwezo wa kutengeneza maisha yako na wala hakuna mbadala wa wewe.
Kwahiyo ukisoma kwa umakini na Kutafakari hapa, utagundua ya kwamba ndani ya chanzo kuna msingi, na msingi mmoja unaweza ukatengeneza vyanzo mbalimbali (usichanganyikiwe sasa na wewe, ili uelewe hapo rudi mwanzo mwa andiko nilikwambia msingi ndio hutengeza complex things na ili uweze kuondoa ucomplex ni lazima uanze kuyagawa mambo hayo kwenye namna fulani rahisi ili uufikie msingi wake).
Ndio maana mtu akifariki huwa wale watu wanaomfahamu wanapopata taarifa huwa wanauliza chanzo cha kifo chake ni nini, kwa maana wanajua kifo kinaweza kusababishwa na mambo mengi ya msingi ambayo ndio huweza kuunda chanzo.
Kwahiyo kama haujui msingi wa jambo fulani huwezi kusolve puzzle yake, na hapa duniani mambo mengi yapo kwenye puzzle na puzzle ni muunganiko wa mambo mbalimbali ya msingi na ili uweze kusolve puzzle nyingi za kilimwengu lazima uuelewe vizuri msingi wake ni nini.
So, kama Mungu ndio chanzo cha uhai basi hii tayari inakua ni complex puzzle kwa maana iko na vyanzo vingi hadi kufikia ule msingi wake na ili tuweze kuisolve lazima tuujue msingi wake ni upi.
Je, msingi wa uhai ni nini?
NITARUDI.
Mada nzuri na fikirishi,... ila tatizo ni kwamba inajadili vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wa Binadamu kuweza kuthibitisha uhalisia wake maana kwa mfano tukisema upo sahihi ulivyosema kwamba Mungu sio msingi wa uhai,. tutakuomba uthibitisho kuhusu hilo,. kisha tutakuomba utuambie kama Mungu sio msingi wa uhai, Je msingi wa uhai ni nini? na uthibitisho wa huo msingi wa uhai upo wapi au tutaufahamu vipi? .......Bila shaka mko salama waungwana...

Ila ni kwamba inajadili vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wa Binadamu kuweza kuthibitisha
Usichanganye ukweli kwamba, on the one hand, elimu kuhusu chanzo cha uhai inaweza kubadilika na on the other hand, chanzo cha uhai kuweza kubadilika.Bila shaka mko salama waungwana...

Nasubii kwa hamu na shauku kubwa mleta mada kurudi kutula msingi wa maisha au uhai.NITARUDI
Hili andiko nimeliandika baada ya kuona hilo neno chanzo limetumika kwenye maandiko almost yote badala ya neno msingi na ndio maana ukilisoma hili andiko utaona limekaa sana kwenye muktadha wa kidini kuliko wa kisayansi ila pia dhima hii hii tukiirudisha upande huo wa kisayansi lazima kuna pahala tutafika na kustack.Dhana nzima ya chanzo inahitaji muktadha. Kutumia neno chanzo bila muktadha, hata wa kukubali tu kuwa kauli hiyo ina uthabiti kiasi gani na margin of error gani, na imetoka katika epistemology gani, ni kujiwekea uhakika usiokuwepo.
Kwa mfano, katika epistemology ya dini ya Kijristo chanzo cha maisha ni Mungu.
Lakini, katika epistemology ya kisayansi kauli hii haina mashiko.
Na hapo kwenye maswali mengi ndio kutakua na uelekeo mzuri wa kuivunja vunja hii puzzle iweze kua kwenye vyanzo mbalimbali vya msingi ambavyo labda kama tukiendelea kuvichambua tunaweza kupata msingiMada nzuri na fikirishi,... ila tatizo ni kwamba inajadili vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wa Binadamu kuweza kuthibitisha uhalisia wake maana kwa mfano tukisema upo sahihi ulivyosema kwamba Mungu sio msingi wa uhai,. tutakuomba uthibitisho kuhusu hilo,. kisha tutakuomba utuambie kama Mungu sio msingi wa uhai, Je msingi wa uhai ni nini? na uthibitisho wa huo msingi wa uhai upo wapi au tutaufahamu vipi? .......
Hivyo kimsingi kadri tunavyochimba mada hii,. tutajikuta tunapata maswali mengi zaidi kuliko majibu.
Mkuu samahan je wewe ni dini ganiNa hapo kwenye maswali mengi ndio kutakua na uelekeo mzuri wa kuivunja vunja hii puzzle iweze kua kwenye vyanzo mbalimbali vya msingi ambavyo labda kama tukiendelea kuvichambua tunaweza kupata msingi
Ni kweli mkuu, ila tujadilini wote ili tuweze kuisolve hii equation 😅😅Nasubii kwa hamu na shauku kubwa mleta mada kurudi kutula msingi wa maisha au uhai.
Ukweli ni mada uliyo ileta ambayo inaacha tafakari kubwa sana ndani mwetu juu haswa ya nini maana ya maisha , msingi wake na chanzo na mantiki.
Vitu kama hivi huwezi kuvipata katika sehemu zetu za imani maana huko tunefungiwa kwenye boksi la imani hatupaswi kuhoji wala kudadisi ila kusadiki tu.
Hii imetulemaza sana na kutuweka sehemu kiasi cha kujiita watumwa au tusio kuwa huru wala tusio jua mantiki ya maisha na jinsi gani tufanye maisha yawe bora.
Natanguliza shukrani kwa mada hii.
Mungu nayeye yupo hai?Mungu ni chanzo cha uhai na hakukuwa wala hakuna kitu kingine kinacheza kuwa chanzo cha uhai
Mkuu Mimi naamini uwepo wa mamlaka yenye nguvu kuliko sisi, kwahiyo mtu yeyote ambae anaamini uwepo wa hiyo mamlaka bila kujali yuko upande gani Mimi nafungamana nae, iwe wa msikitini, wa kanisani, kilingeni na kadhalika😅😅😅Mkuu samahan je wewe ni dini gani