A
Hahahaha..... Afrika yanguIshu ni Ukiritimba.
Ukiichukulia OU kama taasisi nyingne ya Serikali basi mambo yako yatanyooka.
Nina maanisha uwe unatoa bashasha kwa malecturer na masupervisor ili wakunyooshee mambo yako.
Hiko chuo sio Direct frm school na weng wanaosoma ni wale ambao wana kaz zao na hivyo pesa iko.
Kwahiyo wasimamizi wanajua kabisa kuwa wanafunz mna hela.
Na washazoea kuhongwa.
Kwahiyo chagua mawili.
1. Uwe punctual sana (usikose asignment ,quiz, online meeting,group studies etc ) ili wenzako wakuone Kipanga wakupe hela na ufanye kwa niaba yao.
2. Utoe hela kwa wasimamizi na wakufunzi ili mambo yako yaende.
Nimesoma mpaka mwisho wa mada, sijaona uhusiano wa kichwa cha habari na makala. Umesema suala la wanasiasa kwenye heading lakini kwenye makala hujagusia wanasiasa.Kwa miaka yangu mitatu niliyokuwa hapa chuoni nimeona walimu wetu wakionyesha dharau na kutosimamia majukumu yao sawasawa na kwa wakati.
Miaka yote kumekuwa na tatizo la kuchelewa kwa matokeo. Unaweza kuwekewa matokeo week mbili baada ya Graduation na ukakosa nafasi ya kugraduate mwaka husika.
Swala la research, hili watu wengi wameongea lakini sioni likifikiwa solution, tumeongea sana na uongozi 2023 na 2024 tukajua watajirekebisha ila huu mwaka masupervisor hawajafanya chochote na ni moja ya sababu ya watu kushindwa kumaliza.
Tatizo la miungu watu, lecturer akikuchukia kwa sababu haukuhudhuria Zoom yake, sisi wengine tuko kazini mpaka usiku, anapeleka hiyo chuki kwenye mitihani mpaka kwenye research yako na utakula sup na repeat za kutosha. Na yeye ndiyo ataamua wewe unamaliza mwaka gani.
Miaka yote kumekuwa na swala la usahihishaji mbovu wa mitihani hasahasa department ya science na ukilalamika ndiyo utajaziwa Sup na repeat za kutosha, najua humu kuna wanafunzi wa open au hata ukiingia kwenye magroup yetu utaona watu wakilalalmika.
Nimekuwa nikifuatilia viongozi waliomaliza bachelor degree pale Open na naona waliweza kumaliza ndani ya miaka 3 wote huwa najiuliza waliwezaje??? Kwamba sisi wengine ni wajinga???
Pale Open kuna madudu mengi sana hasahasa department ya science ubaya zaidi wanafunzi wamechagua uoga na kuishia kulalamika WhatsApp pekee, ila ni moja ya chuo cha hovyo sana.
Naomba mods msibadilishe chochote, mimi ni mwanafunzi wa pale na kila nilichoandika ni cha kweli. Next time nitaweka majina yao na picha
Ukute bado alipita nae.Nasikia Wanu alipiga miaka yake mitatu sharp na akaondoka na LLB yake bila wasiwasi. Na lecturer aliyemsimamia akala bonge la uteuzi.
Please: Be like Wanu 😂
View attachment 3506585
Nadhan ww ndio ungedisko.Nimesoma mpaka mwisho wa mada, sijaona uhusiano wa kichwa cha habari na makala. Umesema suala la wanasiasa kwenye heading lakini kwenye makala hujagusia wanasiasa.
Kwa ubongo wako huo, sintoshangaa uki DISCO
Hao wanasiasa ni vilaza wa kawaida kama akina Mwigulu, Dotto Biteko, Selman Jaffo na wengine wengi waliogawiwa PhD bila kuwa na sifa hata za kupata masters. Ni utapeli na uchochoro wa kutakasa elimu education laundry.Kwa miaka yangu mitatu niliyokuwa hapa chuoni nimeona Walimu wetu wakionyesha dharau na kutosimamia majukumu yao sawasawa na kwa wakati.
Miaka yote kumekuwa na tatizo la kuchelewa kwa matokeo, unaweza kuwekewa matokeo wiki mbili baada ya Graduation na ukakosa nafasi ya ku-graduate mwaka husika.
Pia soma ~ Open University wana tabia zikibaki siku chache mwaka wa masomo uishe au Graduation ndiyo wanaanza kusikiliza shida za wanafunzi
Swala la research, hili watu wengi wameongea lakini sioni likifikiwa solution, tumeongea sana na uongozi 2023 na 2024 tukajua watajirekebisha ila huu mwaka ma-supervisor hawajafanya chochote na ni moja ya sababu ya watu kushindwa kumaliza.
Tatizo la Miungu watu, lecturer akikuchukia kwa sababu haukuhudhuria Zoom yake, sisi wengine tuko kazini mpaka usiku, anapeleka hiyo chuki kwenye mitihani mpaka kwenye research yako na utakula sup na repeat za kutosha. Na yeye ndiyo ataamua wewe unamaliza mwaka gani.
Miaka yote kumekuwa na swala la usahihishaji mbovu wa mitihani hasahasa department ya science na ukilalamika ndiyo utajaziwa Sup na repeat za kutosha, najua humu kuna Wanafunzi wa Open au hata ukiingia kwenye ma-group yetu utaona watu wakilalalmika. Mbona hata UDSM hii ipo.
Nimekuwa nikifuatilia viongozi waliomaliza Bachelor Degree pale Open na naona waliweza kumaliza ndani ya miaka 3 wote huwa najiuliza waliwezaje??? Kwamba sisi wengine ni wajinga???
Pale Open kuna madudu mengi sana hasahasa Department ya Science ubaya zaidi Wanafunzi wamechagua uoga na kuishia kulalamika WhatsApp pekee, ila ni moja ya chuo cha hovyo sana.
Naomba mods msibadilishe chochote, mimi ni Mwanafunzi wa pale na kila nilichoandika ni cha kweli. Next time nitaweka majina yao na picha.
Dah hongera yake, hawa hawana field na research? kupiga open miaka mitatu ngumu sanaNasikia Wanu alipiga miaka yake mitatu sharp na akaondoka na LLB yake bila wasiwasi. Na lecturer aliyemsimamia akala bonge la uteuzi.
Please: Be like Wanu 😂
View attachment 3506585
NaamChuo kikuu huria kuna ujinga sana,lazima wawashiwe moto ili waelewe.
Na wanadharau mno wakuu wa Idara wanajua matatizo na wanapuuzia tu, wanaona freshNimefanya Test toka mwezi wa saba 2025 ila kila ukiuliza Mbona matokeo hayaonekani?!!! Hakuna majibu zaidi ya blah blah, Chuo cha hovyo sijawahi kuona. Unamuandikia supervisor anakuja kukujibu baada ya miezi 4, no matter what sisi watoto wa Maskini tutamaliza japo kwa mbinde sana ila Mwenyezi Mungu ni Mwaminifu.
Asante mkuu