Kama Cloutus Chama tunayemwimba kwenye mpira wetu wa Bongo kwenye Timu yake ya Taifa hayupo hata reserve basi Ligi yetu ya Bongo ina walakini

chama ni mchezaji wa kawaida sana anaye jua kucheza na ma-jukwaa na vichwa vya mashabiki vilaza si vinginevyo……….
Kwahiyo kwa vile Benzema haitwi timu ya Taifa ya Ufaransa si mchezeji mzuri?
 
Mimi kinachonishangaza ni ubishani WA mpira mitaani na maofisin
Ma Gruop ya watsap hadi kero..

Sasa mpira wenyewe ukija tazama
Hata Mimi huwa nashangaa sana,kwel binadamu tupo tofauti sana
 
Hivi mikia kwanini mimacho inawatoka kutoitwa Chama kwenye timu ya taifa ninyi mnamwona mchezaji mkubwa kwelikweli kumbe ni wa kawaida sana anayejua mpira atabaki simba kufanya nini sasa hivi unasikia tetesi Fei Toto na Mwamnyeto kutakiwa na klabu kubwa za Kongo hao ndio wachezaji mnamvimbisha sana kichwa mchezaji wa bongo
 
Nchi yetu imejaa wajinga kwelikweli kama haufahamu tp mazembe wapo watanzania watatu ambao hata ihefu awapati namba ulimwengu(kachoka),ambokile na singano .Tumia milango yote ya ufahamu usiandike andike tu
 
 
Kama chama ni mchezaji wa kawaida sana hao wachezaji wako uliowataja watakuwaje maana wanatoka ligi moja ambayo chama kachukua tuzo ya mchezaji bora wa ligi na hao wakiwepo.Utopolo fikiria unapotaka kuandika.
 
Mimi utopolo ila kiukweli chama kwa soka letu hapa bongo hana mpinzani. Tukianza porojo sijui hayupo hata kwa reserve timu ya zambia hayo ni mengine.
 
Akili ikiganda huwezi kuona njia mtukuzeni huyo Chama mchezaji mzuri hawezi kubaki nchini wazuri wanachukuliwa na timu kubwa wake up
 
hivi ww ni mshabiki wa mpira au mfatiliaji wa mpira?hivi hujui kuwa kuitwa timu taifa ni uamuzi wa kocha tena uamuzi ambao unaathiriwa sababu nyingi zikiwemo za kitaalamu technical and tactical decisiion na pia sababu binafsi za kocha? kwani ni makocha wote unadhani hawatamuita chama?kila kocha ana mbinu zake,we hujui hilo,what if kocha hataki wachezaji wa design ya chama?kwani hajawahi kuitwa timu ya taifa ya zambia?
haya niambie yule beki bora wa man city chini ya kocha bora duniani pep guadiola,Anaitwa Aimeric larporte mmbona haitwi timu ya ufaransa ilhani ndo tegemeo pale man city?
au nikurudishe nyuma basi,kwanini Romario alichwa world cup ya 2002 na scolari akamchukuwa ronadinho?
fahamu kwanini mchezaji ameachwa na sio kupiga fujo. alaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…