Ilongailunga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 1,388
- 896
Kwahiyo kwa vile Benzema haitwi timu ya Taifa ya Ufaransa si mchezeji mzuri?chama ni mchezaji wa kawaida sana anaye jua kucheza na ma-jukwaa na vichwa vya mashabiki vilaza si vinginevyo……….
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo kwa vile Benzema haitwi timu ya Taifa ya Ufaransa si mchezeji mzuri?chama ni mchezaji wa kawaida sana anaye jua kucheza na ma-jukwaa na vichwa vya mashabiki vilaza si vinginevyo……….
Hata Mimi huwa nashangaa sana,kwel binadamu tupo tofauti sanaMimi kinachonishangaza ni ubishani WA mpira mitaani na maofisin
Ma Gruop ya watsap hadi kero..
Sasa mpira wenyewe ukija tazama
Nchi yetu imejaa wajinga kwelikweli kama haufahamu tp mazembe wapo watanzania watatu ambao hata ihefu awapati namba ulimwengu(kachoka),ambokile na singano .Tumia milango yote ya ufahamu usiandike andike tuHivi mikia kwanini mimacho inawatoka kutoitwa Chama kwenye timu ya taifa ninyi mnamwona mchezaji mkubwa kwelikweli kumbe ni wa kawaida sana anayejua mpira atabaki simba kufanya nini sasa hivi unasikia tetesi Fei Toto na Mwamnyeto kutakiwa na klabu kubwa za Kongo hao ndio wachezaji mnamvimbisha sana kichwa mchezaji wa bongo
Hivi mikia kwanini mimacho inawatoka kutoitwa Chama kwenye timu ya taifa ninyi mnamwona mchezaji mkubwa kwelikweli kumbe ni wa kawaida sana anayejua mpira atabaki simba kufanya nini sasa hivi unasikia tetesi Fei Toto na Mwamnyeto kutakiwa na klabu kubwa za Kongo hao ndio wachezaji mnamvimbisha sana kichwa mchezaji w
[/QUOT
Utopolo ni utopolo tu..Kama chama ni mchezaji wa kawaida sana hao wachezaji wako watakuwaje maana wanatoka kwenye ligi moja ambayo chama kachukua tuzo ya mchezaji bora wa ligi.
Utopolo fikiria unapotaka kuandika.
Una uhakika?Kwani Mo Dewji siyo mwarabu?!
hivi ww ni mshabiki wa mpira au mfatiliaji wa mpira?hivi hujui kuwa kuitwa timu taifa ni uamuzi wa kocha tena uamuzi ambao unaathiriwa sababu nyingi zikiwemo za kitaalamu technical and tactical decisiion na pia sababu binafsi za kocha? kwani ni makocha wote unadhani hawatamuita chama?kila kocha ana mbinu zake,we hujui hilo,what if kocha hataki wachezaji wa design ya chama?kwani hajawahi kuitwa timu ya taifa ya zambia?Juzi kati nilikuwa nasoma majina ya Wachezaji walioitwa kwenye Timu ya Taifa ya Zambia na Kocha Mkuu wa timu hiyo Bw. Micho. Nilistaajabu nilipoona jina la mchezaji na kiungo pendwa wa ligi yetu kutokuwemo kwenye orodha ya wachezaji wa timu hiyo. Pia, kiungo mwingine fundi Larry Bwalya naye hakuwemo kwenye orodha hiyo. Nikajiuliza mpira wetu una tatizo gani?
Iweje leo kiungo tunayemwona kuwa asipokuwepo kwenye mechi ya Simba na timu nyingine tuanona kama hakuna timu, leo anakosekana kwenye timu yake ya taifa. Kwa kweli sikuyaamini macho yangu kuhusu hilo. Chama huyu huyu aliyeimpandishia dau la kumsajili timu yake ya Simba baada ya kutakiwa na mahasimu wao Yanga anakosa hata kuwa kwenye wachezaji wa akiba (Reserve)?
Nilipoendelea kushangaa nikakutana na mchambuzi mmoja mahiri alikuwa akieleza kuhusu ubora na udhaifu wa timu ya Simba inapocheza uwanjani. Kwa kumnukuu mchambuzi huyo alieleza kuwa "Timu ya Simba ni bora kwa kuchezea mpira hasa wa pasi fupi za kufurahisha mashabiki (wenyewe wanaita pira biriani) lakini ni dhaifu ikikutana na timu zinazocheza mpira wa nguvu".
Akaendelea kusema ubora wa Simba unamtegemea zaidi Cloutus Chama, ingawa naye hana uwezo wa kucheza mpira wa nguvu. Sehemu kubwa ya mpira anaocheza Chama anatumia unyumbufu wa mwili wake kuwadanganya wapinzani wake kwa vyenga vya hapa na pale.
Hivyo, kama taifa yatupasa tujitathmini kuhusu Ubora wa Ligi yetu ambayo ina wachezaji wanaoimbwa midomoni kama Chama na wengine.