Tatizo mmejenga nyumba kiholela bila kufuata mipango miji, wakisema wawaletee gesi kutakuwa na majanga kila siku.Gesi ni kama sola. Gharama ni kubwa sana mwanzoni katika kuweka mifumo yake. Ukishaweka unaenjoy maisha mpaka itakapopata hitilafu na kuhitaji repair. Ila ni chaguo zuri sana.
Nashauri ufanyike uwekezaji mkubwa kwenye vituo vya kujazia na utengenezaji wa mitungi bora hapahapa nchini.
Halafu kabla sijasahau, tuliambiwa gesi ya mtwara itakuwa ikitumika majumbani mwetu kipitia mabomba kama ilivyo maji ya DAWASA, hii plani imeishia wapi? Au ilikuwa danganya toto ya wanasiasa?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app