Kama DED anaandika Barua hivi, kuna haja ya kufanya Reformation kwa hawa watu

Nimewarahishia. Barua anayosema mtoa mada hiyo hapo. Mimi sihusiki.

Update: Naona ameiweka upya. Sasa inaonekana bila kufungua attachment.
 
Blogger asiyeweza kuscreenshoot pdf na ku upload,hana tofauti na huyo karani aliye andika hiyo barua kwa niaba ya Mkurugenzi.Bongo watu wana lipua lipua mambo tu.
we unahisi hiyo barua imejileta hapo juu?
 
Hilo ni tangazo sio barua. Halafu, unafikiri DED anapata wapi muda wa kuandika barua kiongozi. DED anasaini tu barua,by the way sijaona shida kwenye hio document kiasi cha kukosoa.
sio kosa langu kutofautisha, soma kilichoandikwa ndio utatambua ninachomaanisha
 
Huyo aliyeandika kama sio hivyo vitu vifuatavyo angecharaza hata ukurasa mzima bila nukta wala koma πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…