Ndio maana address inakuwa na namba ya nyumba, jina la mtaa, eneo na code husika.
Sasa ‘POSTIKODI’ kwa Kiswahili ndio kitu gani.
Ujabandika Code zenyewe kila barabara na mtaa
Ujajenga vituo vya kutumbukizia barua mtaani au maeneo ya karibu ata kama unakusanyia madukani.
To name a few Ila umeanza kutoa mafunzo kwa wafanyakazi wa wilaya ambapo unajiuliza what is their role in all these early planning.
Hivi unawezaje kuongelea kitu hadharani kwa nguvu zote ata planning ya ku execute mission yenyewe kumbe uelewi, udhani ata hizo funds za kuagiza magari, kuajiri watu, kujenga majengo ya postal zenye warehouses za kupokea mizigo locally, kuingia contract na local shops kama drop centres and so forth with operation mission ya huo mradi zipo tayari.
Unaenda ku train wafanyakazi wilayani ambao bado najiuliza, what is their role in all these early phases of project or in the future.
The nonsense with this country is beyond me.