Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Tatizo likowapi wanazengo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barua haijakosewaassume wewe ni baba umeagiza nyama kilo 5,mtoto kaleta kilo 1,umeiona na umeipokea,ukampa mama jioni inapikwa unaluzwa kwann ndogo,utasema wewe kama baba hauna makosa yoyote?
Umemaliza mjadala.DED hana kosa lolote hapo.
Mkurugenzi haandiki barua. Barua nyingi zinaandikwa na vitengo idara ndani ya Halmashauri.Kosa lake linaweza kuwa ni kuweka signature na mhuri kabla hajaisoma, lakini hizo barua huandaliwa na MAAFISA UTUMISHI na hupewa MASEKRETARI kuziandaa.
Kama hata uandishi huoni ulivyokaa kimakosa hata kama ukiwekwa hutaelewa! Tulia kama ulivyo!Ni vizuri ungeainisha makosa yaliyopo katika barua, sio watu wote wamesoma sarufi na miundo ya kiswahili boss. Tunahitaji kujifunza zaidi kutokana na makosa
We ndio unatakiwa ujifunze kutofautisha Barua na Tangazo.
Nadhani na wewe una tatizoKama DED anaandika Barua hivi, kuna haja ya kufanya Reformation kwa hawa watu haya ni matumizi mabaya ya pesa za mlipa kodi
View attachment 2158496
Bado hata tarehe/siku ya kuripoti hao wafuatao...hakuna!Pamoja na matumizi mabaya ya herufi kubwa, alama kama (,.) Lkn unaposema wafuatao, maana yake unawaorodhesha hapo chini au umeambatanisha lkn huyu kasema ukasema kwenye tovuti
Yaani ni majanga tupuBado hata tarehe/siku ya kuripoti hao wafuatao...hakuna!
Daktari wa lugha kwema? Nimewamiss DodomaNimewarahishia. Barua anayosema mtoa mada hiyo hapo. Mimi sihusiki.
Update: Naona ameiweka upya. Sasa inaonekana bila kufungua attachment.
Kwanza haitakiwi kuandika barua kwa herufi kubwa hadi kwenye text. Kwenye kichwa cha habari ni sawa. Halafu barua haina koma wala nukta na paragraph nzima ni sentensi. Ukisoma inabidi uombe glass ya maji ushushie ndio uendelee, kweli! Huo sio uandishi unaofaa! Mengine wataongezea Wananzengo.Ni vizuri ungeainisha makosa yaliyopo katika barua, sio watu wote wamesoma sarufi na miundo ya kiswahili boss. Tunahitaji kujifunza zaidi kutokana na makosa