bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,217
- Thread starter
-
- #21
yani hadi muda huu hakuna alieona tatizo hilo,kweli hii nchi inahitaji maombi?Sentensi ni ndefu sana na hakuna vituo. Content haina shida. Sema barua hizo Ma-DED wanaandikiwa
Duuuuh kweli elimu mali, mi niliona ipo sawa tu 🤣🤣🤣. Btw mtoa mada angekuwa mmoja wapo ya waliochaguliwa na kweli anashida ya kazi, asingeweza spot hayo makosaSentensi ni ndefu sana na hakuna vituo. Content haina shida. Sema barua hizo Ma-DED wanaandikiwa
... kituo ni pumzi yako itakapoishia; una-pause then unaendelea. Tunatofautiana pumzi; vituo jiwekee mwenyewe.Sentensi ni ndefu sana na hakuna vituo. Content haina shida. Sema barua hizo Ma-DED wanaandikiwa
Omusolopa kasaidia kuweka picture, tatizo lingine la mbongo hakubali kukosea, atafanya kila jambo aonekane anajua kila kitu.we unahisi hiyo barua imejileta hapo juu?
Hiyo sio barua bali ni tangazo .Kosa la hiyo barua ninini?
Barua haina paragrafu wala kituo.yani hadi muda huu hakuna alieona tatizo hilo,kweli hii nchi inahitaji maombi?
Hilo ni tangazo sio barua yani public announcementKosa la hiyo barua ninini?
Wewe ndio mwenye matatizo, uandishi gani huo wa kuanza na herufi ndogo?assume wewe ni baba umeagiza nyama kilo 5,mtoto kaleta kilo 1,umeiona na umeipokea,ukampa mama jioni inapikwa unaluzwa kwann ndogo,utasema wewe kama baba hauna makosa yoyote?
All Caps.yani hadi muda huu hakuna alieona tatizo hilo,kweli hii nchi inahitaji maombi?
Tatizo umeileta kimajungu ndo maana raia wanakushangaayani hadi muda huu hakuna alieona tatizo hilo,kweli hii nchi inahitaji maombi?
Dogo upo kimajungu sana na hujiamini ndo mana unaogopa kuainisha makosayani hadi muda huu hakuna alieona tatizo hilo,kweli hii nchi inahitaji maombi?
Uko very busy kutafuta negativities tu
Kama unshindwa kutofautisha tangazo na baruayani hadi muda huu hakuna alieona tatizo hilo,kweli hii nchi inahitaji maombi?
Hiyo ni Barua na wewe?Sentensi ni ndefu sana na hakuna vituo. Content haina shida. Sema barua hizo Ma-DED wanaandikiwa
Bila vituo au alama nyinginezo inakuwa ngumu hata kupata maana.... kituo ni pumzi yako itakapoishia; una-pause then unaendelea. Tunatofautiana pumzi; vituo jiwekee mwenyewe.