Kama DPP haondolewi ofisini mpaka afanye makosa au awe na tatizo la kiafya, Rais kamuondoa katika mazingira gani?

Alafu Cha ajabu Watumishi wengi wa Umma ndiyo hawampendi sana! Wanamuektia na Sasa ndiyo huko ma officini ndiyo hawatumiki kabisa wame relax wanamuangalia Mama!!
Kama watumishi wa umma wenyew ni akina Ndugai na Mganga basi ni hovyo sn
 
Mama hajapoteza mvuto, tunamoenda, ikiwa utalipiza ubaya kwa kila ubaya uliopita tutatengeneza visasi visivyoisha.Ni muhimu kusamehe kama sala ya Baba yetu uliyembinguni...... Inavyotuelekeza
 
Kama watumishi wa umma wenyew ni akina Ndugai na Mganga basi ni hovyo sn
Sasa ndiyo anatakiwa awatumbuwe! Mama apunguze upole na huruma,ajuwe kuwa yeye siyo Mama,yeye ni Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!! Urais hauna jinsia! Jinsia yoyote ile inaweza kua Rais!! Urais siyo Kama ndoa kua eti Mume lazima awe Mwanaume na Mke lazima awe Mwanamke!!
 
Biswalo is there to stay.

Wanafiki mtakesha sana kupiga umbea na uzandiki. Yuko pale na utashangaa anakua jaji mkuu.
 
Kama inajulikana si Msafi kwanini ampeleke kua Jaji? Huoni kama huyu anaeteua na kutengua nae ana shida?
Hata kwenye Ujaji kuna namna ya kumuondoa Jaji kwa kukiuka Maadili. Imewahi kufanyika kwa Jaji Mwakibete (RIP) aliyekuwa Mfawidhi wa Kanda ya Arusha mwaka 1991. Rais Ali Hassan Mwinyi aliiunda, ikafanya kazi na ikamkuta na hatia. Kisha ikatoa mapendekezo kwa Rais na Rais akamuondoa kwenye UJAJI.

Ila Biswalo anapaswa kushughukikiwa kwa Sheria hiyo ya National Prosecution Services.

Unapoua mende unatumia vile vidonge vyeupe, lakini vile vidonge haviui panya. Panya lazima auawe kwa sumu ya panya
 
Hivi huyu Biswalo hakuwai kuwa na Kashfa kweli
 
Yaani makosa yake ni wazi mno haitakiwi kupoteza pesa ya kulipa tume. Nimemsifu sana Mh. Rais maana hataki kupoteza pesa ya walipa kodi kwa ukweli ulio wazi.
 
kinga ya kutoshtakiwa iondolewe kwa viongozi wote sababu hata marais ndo wanaongoza kwa madudu kuliko hata wa chini yao.

kinga hii ikiondolewa marais hawata-act kama miungu watu bt watatimiza wajibu wao wakijua sheria mi msumeno hata dhidi yao.
 
Tuanze na kuwepo kwake ktk nafasi hiyo, alikidhi vigezo?
Jibu!
 
Hata DPP Feleshi alipewa ujaji haikuwa maneno.
Nyie mnamsongasonga mama.
Mna lenu jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…