Kama DPP haondolewi ofisini mpaka afanye makosa au awe na tatizo la kiafya, Rais kamuondoa katika mazingira gani?

Na KWANINI atungiwe Sheria ya kutokuondolewa mbona Watumishi wengine Sheria haziko hivyo?
 
Huyo DPP anajua makosa yake na ukisoma hiyo sheria ni kama Samia amemsevu tu, ilipaswa haya malalamiko ya DPP kuonea watu yaundiwe tume then wamtimue kabisa ana bahati wamemstahi tu, yani akatulie huko anakoenda. Mfupi kama kimba
 

Nimw copy and paste
Embu chambua chambua sijui utapata jibu hapo
 
Mbona aliyekuwa DPP Mhe. Feleshi naye alipata kuondolewa kuwa DPP na Utawala uliopita?.
 
Tuna tatizo kubwa sana la wananchi kuishi nchini mwao kama wapita njia.
Ni muhimu sana kwa wananchi kuhakikisha katiba na sheria zinafuatwa na kulindwa kwa nguvu kubwa.
Hata hivyo, shida inaanzia pale viongozi wanapoachwa kutunga na kubadilisha sheria wanavyotaka.
Ni lazima wananchi wawe wakali dhidi ya viongozi na hata kuwashughulikia wanapochezea katiba na sheria.
Michango mingi hapa inaonesha wengi wanajifanya wapita njia kwa kupinga au kujipendekeza kwa viongozi badala ya kusimamia katiba na sheria.
Matokeo yake, mfumo wa uongozi umekuwa wa kutojali katiba na sheria bali matakwa ya mtu au kundi fulani.
 
Huyo DPP anajua makosa yake na ukisoma hiyo sheria ni kama Samia amemsevu tu, ilipaswa haya malalamiko ya DPP kuonea watu yaundiwe tume then wamtimue kabisa ana bahati wamemstahi tu, yani akatulie huko anakoenda. Mfupi kama kimba
Mama anakosea sana na huku ni kuweka mfano mbaya kwa viongozi wajao.
 
Mpaka leo hujui ya kwamba kuanzia enzi za Magufuli hadi leo hakuna utawala wa sheria Tanzania?!
 
Nimefuatilia kuwa ujimwondoa mbadala ni ujaji, naona mama ameumiza ki hwa sana namna ya kumuondoa u DPP
 
Yes ni kweli
 
Turudi hapa wadau. Huko jikoni tayari CAG kishafanya yake, kilichobakia ni kuweka mezani tu.

Biswalo Mganga, hachomoki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…