Kama dunia ni duara sisi tupo ndani au nje?

Kama dunia ni duara sisi tupo ndani au nje?

tupo ndani...nje tungekuwa mars
Ndani kuna magma ambapo joto lake halistahimiliki jua kuwa dunia Ni Kati ya sayari zilizopo kama vile mars, jupiter , mecyuri n.k
 
Sio dunia ni duara bali dunia ni kama tufe mfano wa yai. Sisi tupo nje ya dunia yan kama kumeshikwa na sumaku(G FORCE/KANI YA MVUTANO)VILIVYO Ndani ya dunia nivile vilivyo ndani ya ardhi. Namaanisha wale walio ktk migon mahandak nk wapo ndani ya dunia ijapo ni tabaka la juujuu. Wanaosafir na ndege wao wapo ktk anga ya dunia.
 
Mi ninachojua tuko nje, swali ambalo huwa najiiliza kwa nini hatudondoki wakati dunia ikijizungusha kwenye mhimili wake?
Haudondok kwa sababu kun nguvu iyayokusukuma urud ktk dunia vyombo vinavyoenda hewan huwa vinatumia nguv kukabiliana na nguvu hii (kani ya mvutano) na kadir unavyoiacha dunia ndivyo hii force inapunguA. Mfano ukiwa mwezin hii nguvu inakuwa ndogo kias kwamba utembeaji wako mwenzin utakuwa wakunesa nesa yan kama unasponji ktk nyayo na si ajabu ukawa una eleaelea mara kw mara... Tizama video z nasa safar za mwezin.
 
Hakuna mtu aliyefika mwezini hizo za NASA unazoziona ni assumption na simulation za Nevada desert tu
 
Back
Top Bottom