Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,920
- 3,240
mi nina swali la nyongeza, je dunia ina jua lake lenyewe kwa ndani (earth core)?
Sio jua lake kwa Ndani. Jua ni nyota. Ndani ya kiini cha dunia kuna Iron na Nickel alloys. Wakati sayari zinajiunganisha kutokana na Gravitation heavy elements ndizo zilishuka kwenye core kutokana na gravity. Kutokana na pressure na gravity pana joto linalokaribia joto la jua.