Kama dunia ni duara sisi tupo ndani au nje?

Kama dunia ni duara sisi tupo ndani au nje?

Mkuu mbona kila kitu kipo waz na video zipo kibao na nimeziangalia nyingi tangu zama za john kenned wa usa mwezin mbona si mbal sana kias cha kushindwa kufika.... Video nimeangalia na watu waliovunja rekod wapo mkuu ya kuwa wtu w kwNza kufika huko
 
Wanasemaga eti tupo kwenye uso wa dunia, lakini nadhani walikosea maana mie naona tupo kwenye matak.o ya dunia(kutokana na tabia chafu za mifirano tunazoziendekeza)
No ni Africa ndio tuko kwenye matak.o ya dunia wengine wote wapo kwenye uso wa dunia
 
Wajuzi wa jiografia naomba majibu ya haya maswali. Sote tumeaminishwa dunia ni duara/Tufe/yai, je sisi(viumbe vya duniani) tupo ndani yake au nje??
1473854080247.jpg
 
Dah,kweli unaweza kujiona kilaza ila kuna vilaza zaidi....hii science nilijifunza darasa la 3 au la NNE, ....niliwahi kumuuliza swali mwalimu kama tuko nje kwanini hatudondoki?? Akanijibu sababu ya kani ya mvutano,akarusha chaki juu akaniambia unaona inarudi chini??...sikutegemea kulikuta hili swali jamii forum...[emoji23][emoji23]
 
kwani uliishia darasa la ngapi? inagawa kuuliza sio ujinga ila ukumbuke kiwango cha maswali uulizayo kinaonyesha uwerevu wako pia
 
dunia ni tufe hii ardhi ni usawa wa juu wa tufe ilo yaan yai kwa juu dunia imezungukwa na maji mabara yote nane lile wingu lipo njee ya dunia kazi yake kuzuia jua yaani ozone layer hili wingu ndio linachanganya watu ukitaka kujua kama tuko nje kwa nini hatudondoki jibu lake rahisi tu toka nje kisha zunguruka mara kumi kisha utaona jins dunia inavyozunguka na hapo utadondoka nadhani ukidondoka hutouliza tena kwa nini hatudondoki
 
mi nina swali la nyongeza, je dunia ina jua lake lenyewe kwa ndani (earth core)?
 
Tupo juu na dunia sio duara Bali ni duara tenge
 
Falling Sawa inazuiliwa na Gravitational force. . Lakini nadhani Sometimes tungekuwa atleast tunapata ile Feeling kwamba muda flani tupo upside down...
 
Back
Top Bottom