Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Ndio nini hii??"herphloglafil."
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nini hii??"herphloglafil."
Hata hii ni physics ya form one, mkuu gravity ndio inayotushilikia tusianguke wala yale maji ya baharini yasimwagike, gravity at works mkuu 9.8m/s2Mi ninachojua tuko nje, swali ambalo huwa najiiliza kwa nini hatudondoki wakati dunia ikijizungusha kwenye mhimili wake?
hahatupo ndani...nje tungekuwa mars
Kwa hiyo utawala wake unakomea duniani mars hakumhusu?
Umewahi kupanda gari inayokimbia sana na ukiwa umekaa ktk siti yako ukawa unarusha chungwa juu na linadondokea tena hapo hapo mkononi na sio kwamba utaliacha nyuma sababu ya spidi ya gari? Hii ndio logic kwa nini hatuanguki pia msaada wa gravitational force pia.Mi ninachojua tuko nje, swali ambalo huwa najiiliza kwa nini hatudondoki wakati dunia ikijizungusha kwenye mhimili wake?
Mbona maji ya bahari huwa hayamwagiki kama yapo nje ya ardhi ya dunia?Tupo nje ya ardhi ndani ya dunia. Dunia si ardhi pekee ni pamoja na "atmosphere" inayotuzunguka.
Mbona maji ya bahari huwa hayamwagiki kama yapo nje ya ardhi ya dunia?
Kwa speed ambazo dunia inajizungusha na kulizunguka jua haiwezekani kabisa maji ya bahari kumwagika na ukizingatia kuna gravitional force, speed ya kulizunguka jua ni 105,000 km/saaMbona maji ya bahari huwa hayamwagiki kama yapo nje ya ardhi ya dunia?
Yap! Ndo maana embe haliwezi kuachia mtini then likapotelea angani, lazima lirudi chini (nimeongezea kidogo mkuu)Kuna kitu kinaitwa gravitational force.
teh teh teh! Nimecheka kwa sautiKanisome tena, tupo juu ya ardhi ndani ya dunia. Dunia ni pamoja na "atmosphere" inayotuzunguka.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ukifikiria sana utagundua kuwa haya yote ni ubatili mtupu! Tenda wema subiri siku yako ifike, maana ukifikiria na umri wa dunia kuwa ni miaka mabilioni kibao! Wakati hapa mtu miaka 70 tu kashakuwa hoi bin taabani!!Sio jua lake kwa Ndani. Jua ni nyota. Ndani ya kiini cha dunia kuna Iron na Nickel alloys. Wakati sayari zinajiunganisha kutokana na Gravitation heavy elements ndizo zilishuka kwenye core kutokana na gravity. Kutokana na pressure na gravity pana joto linalokaribia joto la jua.
Walimu wengi ni waongoUongo wa darasani ni hatari zaidi ya uongo wa mtaani.