Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 974
- 2,106
Hivi kwanini bei ya bangi haiwi ghali?Hapa nawaza kama bahari ingekuwa supu, ningekula na chapati ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwanini bei ya bangi haiwi ghali?Hapa nawaza kama bahari ingekuwa supu, ningekula na chapati ngapi?
Swali zuri..Falling Sawa inazuiliwa na Gravitational force. . Lakini nadhani Sometimes tungekuwa atleast tunapata ile Feeling kwamba muda flani tupo upside down...
Tupo nje ya tupe, dunia co km duara kam mia IPO kam yaiTuko nje mkuu
Hivi Siyo jografia ya darasa la 3 hii!!?
Daaah!
Are you serious?tupo ndani...nje tungekuwa mars
Dah, hizi kitu nilimezaga zote ila ndo umenikumbusha.Tumia lugha adhimu kama: Zebaki, Zuhura, Dunia, Mirihi, Mshtarii/Sumbula, Sarateni, n.k.
Basi kuna shida
ni kweli kabisa ndugu yanguBasi kuna shida
Kwanza dunia siyo duara Bali Ni umbo la tufe kama yai vile nasisi viumbe Tupo kwenye gamba la dunia Yani nje .
Halafu mbona hakuna wakati tunakuwa kama popo? Yaani kichwa chini miguu juu??Mi ninachojua tuko nje, swali ambalo huwa najiiliza kwa nini hatudondoki wakati dunia ikijizungusha kwenye mhimili wake?
Sawa, ila mbona hakuna wakati tunakuwa miguu juu kichwa chini kama popo?Kuna kitu kinaitwa gravitational force.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeona eeh, au wewe unadhani tupo sehemu gani ya dunia mkuu kama si kwenye KUNDU la Mr Dunia?
sasa kama tupo nje kwann watu wanasema tunaishi duniani ?Tupo njee tena pembenii mwa outer structure of the earth...(continental shelf)..ndanii kunasadkika joto lake..ni 150000c..utaishii go.mkuuu....?
hiyo topic inasema dunia ikoje ?Naona hata walioanzisha hii elimu nao walikuwa wanatuzid uwezo xn mana naona theories zao mara nyingne zinazingu xn
Mfano tukiwa primary darasa la kwanza na la pili sijui vile tuliambiwa 1-2 haiwezekani ila bade tukajifunza kuwa 1-2=-1 vivo hivyo tukaja kujifunza kuwa dunia ni duara na badae dunia ipo kama tufe na level ya chuo kwa waliosoma survey yenyenyewe kuna topic moja hiv inaitwa PHOTOGRAMETRY pia nayo inakuja kukataa kuwa Dunia iko kama Tufe kwa sababu zilizowekwa pale so na reasons za kushiba kabisa!!!!!!
kwa hiyo na mm tangu nisome hiyo topic pia huwa siamin kama dunia ni Tufe.........!!!!!!
Ha haHapa nawaza kama bahari ingekuwa supu, ningekula na chapati ngapi?
Daaa hizi elim zinazingua sanahiyo topic inasema dunia ikoje ?
Hapa sawa. Haya mambo yako nje ya uwezo wetu sifa zipelekwe kwa MunguPole sana mleta mada kwa mateso unayopata ya kutumia nguvu nyingi kufikiria juu ya hili, kama ulikaa darasani kwa makini ni kwamba, tuliaminishwa kuwa kuna nguvu ya uvutano kutoka ndani ya Dunia ambayo inatuvuta na kutufanya tusianguke, ila ukweli ni kumpa Mungu sifa kwani yeye ndo muweza anayejua kila kitu.
HahahahahWanasemaga eti tupo kwenye uso wa dunia, lakini nadhani walikosea maana mie naona tupo kwenye matak.o ya dunia(kutokana na tabia chafu za mifirano tunazoziendekeza)