mi nina swali la nyongeza, je dunia ina jua lake lenyewe kwa ndani (earth core)?
Mmmm kweli kiswahili achaa .....sarateni au ndo neno saratani lilipotokeaTumia lugha adhimu kama: Zebaki, Zuhura, Dunia, Mirihi, Mshtarii/Sumbula, Sarateni, n.k.
jaribu kufuatilia earth core ina vitu gan halafu angalia jua ina vitu gani, gravitation force ya dunia inatoka kwenye core, some elements zilizopo kwenye core ndizo zipo kwenye jua, ndo maana dunia inazunguka kwenye muhimili wake ambao nguvu za mvutano zinatoka kwenye core, kama vile inavyozunguka jua ambavyo nguvu za mvutano zinatoka kwenye jua. Na kama ilivyogunduliwa inner core 1936, siyo ina iron and nickel ila INAAMINIKA ina hvyo vitu na ni solid, lkn ugunduzi mwingine unaonesha inner core ina kiini chake ndani kama jua lilivyo na kiini chake chenye vitu tofaut na tulivyovisoma.Sio jua lake kwa Ndani. Jua ni nyota. Ndani ya kiini cha dunia kuna Iron na Nickel alloys. Wakati sayari zinajiunganisha kutokana na Gravitation heavy elements ndizo zilishuka kwenye core kutokana na gravity. Kutokana na pressure na gravity pana joto linalokaribia joto la jua.
jaribu kufuatilia earth core ina vitu gan halafu angalia jua ina vitu gani, gravitation force ya dunia inatoka kwenye core, some elements zilizopo kwenye core ndizo zipo kwenye jua, ndo maana dunia inazunguka kwenye muhimili wake ambao nguvu za mvutano zinatoka kwenye core, kama vile inavyozunguka jua ambavyo nguvu za mvutano zinatoka kwenye jua. Na kama ilivyogunduliwa inner core 1936, siyo ina iron and nickel ila INAAMINIKA ina hvyo vitu na ni solid, lkn ugunduzi mwingine unaonesha inner core ina kiini chake ndani kama jua lilivyo na kiini chake chenye vitu tofaut na tulivyovisoma.
Scientists Unlock Secrets Of Earth's Inner CoreIron na nickel mpaka leo inaaminika ndio kiasi kikubwa cha core ya dunia ila sio kwamba ziko peke yake. Core ya dunia na core ya jua hazina composition sawa.
Dunia na jua ni vitu viwili tofauti like stars and planets are not the same. Nyota na sayari zinatofautiana japokuwa zote zina gravity lakini materials sio sawa na behavior sio sawa mpaka katika core compositions.
Mfano joto la Jua linatokana na fusion ya Hydrogen kuwa fussed kutengeneza Helium. Lakini Earth core haina hiyo fusion behavior. Na earth core ni hotter kama jua kwenye surface lakini sio sawa na core ya jua (discovered in 2013) lakini bado Core ya jua ni hotter than anything in our solar system.
The Earth's Core Is as Hot as the Surface of the Sun
What Is Earth’s Core Made of?
Inner core - Wikipedia, the free encyclopedia
Solar core - Wikipedia, the free encyclopedia
Hajafanya hata sayans ya kuzngsha ssmiz juu ya chungwaTuko nje mkuu
Hivi Siyo jografia ya darasa la 3 hii!!?
Daaah!
hahahahah....[emoji777] [emoji777] [emoji777] [emoji777] [emoji777] [emoji777]
Scientists Unlock Secrets Of Earth's Inner Core
Scientists find oddly behaving 'inner-inner core' at Earth's center
soma hvyo utaelewa ninachoongea
Hapa sio chitchat....Umeona eeh, au wewe unadhani tupo sehemu gani ya dunia mkuu kama si kwenye KUNDU la Mr Dunia?
Pole sana mleta mada kwa mateso unayopata ya kutumia nguvu nyingi kufikiria juu ya hili, kama ulikaa darasani kwa makini ni kwamba, tuliaminishwa kuwa kuna nguvu ya uvutano kutoka ndani ya Dunia ambayo inatuvuta na kutufanya tusianguke, ila ukweli ni kumpa Mungu sifa kwani yeye ndo muweza anayejua kila kitu.Mi ninachojua tuko nje, swali ambalo huwa najiiliza kwa nini hatudondoki wakati dunia ikijizungusha kwenye mhimili wake?
Duh hivi kule shule hua tunaelewa au tunakariri?Hili swali nimeulizwa na mtt nikakosa jibu
Isaya 40:22 Mkuu!!..Hili andiko liko kitabu gani mkuu?
Hulaumiwi wewe mkuu sisi tunamlaumu mkulima wa bangi...Umeona eeh, au wewe unadhani tupo sehemu gani ya dunia mkuu kama si kwenye KUNDU la Mr Dunia?