Kama dunia ni duara sisi tupo ndani au nje?

Mi ninachojua tuko nje, swali ambalo huwa najiiliza kwa nini hatudondoki wakati dunia ikijizungusha kwenye mhimili wake?
Hata hii ni physics ya form one, mkuu gravity ndio inayotushilikia tusianguke wala yale maji ya baharini yasimwagike, gravity at works mkuu 9.8m/s2
 
Mi ninachojua tuko nje, swali ambalo huwa najiiliza kwa nini hatudondoki wakati dunia ikijizungusha kwenye mhimili wake?
Umewahi kupanda gari inayokimbia sana na ukiwa umekaa ktk siti yako ukawa unarusha chungwa juu na linadondokea tena hapo hapo mkononi na sio kwamba utaliacha nyuma sababu ya spidi ya gari? Hii ndio logic kwa nini hatuanguki pia msaada wa gravitational force pia.

Alafu pia, Dunia ni kama tufe na location ya tanzania ktk hilo tufe ni katikati, sisi in reality tunatembea perpendicular na surface ya dunia. Kama kituko fulani hivi.
 
Tupo nje ya ardhi ndani ya dunia. Dunia si ardhi pekee ni pamoja na "atmosphere" inayotuzunguka.
 
Mbona maji ya bahari huwa hayamwagiki kama yapo nje ya ardhi ya dunia?

Kanisome tena, tupo juu ya ardhi ndani ya dunia. Dunia ni pamoja na "atmosphere" inayotuzunguka.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Mbona maji ya bahari huwa hayamwagiki kama yapo nje ya ardhi ya dunia?
Kwa speed ambazo dunia inajizungusha na kulizunguka jua haiwezekani kabisa maji ya bahari kumwagika na ukizingatia kuna gravitional force, speed ya kulizunguka jua ni 105,000 km/saa
 
Kuna kitu kinaitwa gravitational force.
Yap! Ndo maana embe haliwezi kuachia mtini then likapotelea angani, lazima lirudi chini (nimeongezea kidogo mkuu)
 
Kanisome tena, tupo juu ya ardhi ndani ya dunia. Dunia ni pamoja na "atmosphere" inayotuzunguka.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
teh teh teh! Nimecheka kwa sauti
 
Ukifikiria sana utagundua kuwa haya yote ni ubatili mtupu! Tenda wema subiri siku yako ifike, maana ukifikiria na umri wa dunia kuwa ni miaka mabilioni kibao! Wakati hapa mtu miaka 70 tu kashakuwa hoi bin taabani!!
 
Uongo wa darasani ni hatari zaidi ya uongo wa mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…