monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Yanga tupo na wewe mpaka wakuueWapwa tuweke pembeni U simba na U yanga tuwe wazalendo kwa kuishangilia kwa nguvu zote USM ALGERY
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga tupo na wewe mpaka wakuueWapwa tuweke pembeni U simba na U yanga tuwe wazalendo kwa kuishangilia kwa nguvu zote USM ALGERY
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yanga tupo na wewe mpaka wakuue
Hapo mtoe mzee Sunday manara na kikweteUkiwa Yanga automatically unakuwa mpumbavu
Engineer wa nini huyu? Au sound engineer maana siku hizi engineers ni wengi kama wahitimu wa shule za kata..!!Jamaa ni double std! Huwezi amini km ni Engineer
Ukivaa jezi za ccm utakuwa ushawaunga mkono hao utopolo.Mimi ni CHADEMA damu lakini yanga wakicheza hata na ccm, potelea mbali mimi nitavaa mpaka jezi za ccm
🤔🤔🤔🤔🤔🤔Hii tabia usha acha?View attachment 2643827
maskini ya mungu na mkaishia hapo hapo robo kilo...kye kye kyeeeView attachment 2643522siwezi kamwe kuiombea heri Yanga ....hata wakicheza na timu ya mtaani kwetu Mimi nitakuwa upande wa timu pinzani...
Hata YANGA VS YANGA , mimi nitakuwa upande wa Vs..
Kesho FT USM Alger 3 young Africans 0
Na Kila mtu aseme ameen
Na mbaya zaidi feza zenyewe ziwe za Boss na siyo zakeHuyo jamaa yupo overated tu. Kiukweli hakuna kitu kichwani mle. Ni pale fedha zinapofanya maamuzi badala ya akili
Wewe mtazamo wako ni nini ukiondoa alichosema JemedariJamaa hapa nilimvua maksi sana.
Nakumbuka tuliwapiga kaiser 3-0.
JEMEDARI akasema kwa KIONGOZI mkubwa wa KLABU kama yeye kuvaa JEZI Hiyo ni USHAMBA SANA.
Kuna watu wapumbavu sana nchi hiiView attachment 2643522siwezi kamwe kuiombea heri Yanga ....hata wakicheza na timu ya mtaani kwetu Mimi nitakuwa upande wa timu pinzani...
Hata YANGA VS YANGA , mimi nitakuwa upande wa Vs..
Kesho FT USM Alger 3 young Africans 0
Na Kila mtu aseme ameen
Aisee umepiga kwenye mshono, umetonesha kidonda.naikataa Yanga kwa mambo yake yoteView attachment 2643522siwezi kamwe kuiombea heri Yanga ....hata wakicheza na timu ya mtaani kwetu Mimi nitakuwa upande wa timu pinzani...
Hata YANGA VS YANGA , mimi nitakuwa upande wa Vs..
Kesho FT USM Alger 3 young Africans 0
Na Kila mtu aseme ameen
Nawatakia waarabu usindi mnomno. Laana za mama fei bebi zikawatafuneView attachment 2643522siwezi kamwe kuiombea heri Yanga ....hata wakicheza na timu ya mtaani kwetu Mimi nitakuwa upande wa timu pinzani...
Hata YANGA VS YANGA , mimi nitakuwa upande wa Vs..
Kesho FT USM Alger 3 young Africans 0
Na Kila mtu aseme ameen