Kama Eng Hersi alidiriki kuvaa jezi ya Kaizer chief kwenye mechi muhimu dhidi ya Simba, Mimi ni nani niitakie heri Yanga? Njoo hapa tuiombee mabaya ke

Kama Eng Hersi alidiriki kuvaa jezi ya Kaizer chief kwenye mechi muhimu dhidi ya Simba, Mimi ni nani niitakie heri Yanga? Njoo hapa tuiombee mabaya ke

Engineer Hersi anaingilia sana majukumu ya CEO ndio maana anaingia sana migogoro ya kuitendaji na wachezaji

Ushawahi kumuona wapi Rais wa real madrid anazunguka na team mpaka swimming pool?
 
View attachment 2643522siwezi kamwe kuiombea heri Yanga ....hata wakicheza na timu ya mtaani kwetu Mimi nitakuwa upande wa timu pinzani...
Hata YANGA VS YANGA , mimi nitakuwa upande wa Vs..
Kesho FT USM Alger 3 young Africans 0

Na Kila mtu aseme ameen
maskini ya mungu na mkaishia hapo hapo robo kilo...kye kye kyeee
 
Sasa mabaya gani? Hata akifungwa, ndiye mshindi wa pili. Ni hatua ndogo hiyo?

Endelea kuomba.
 
Hata kusoma Uzi sijasoma. AMEEN*3 Wapigwe mpaka wasahau njia ya kurudi Tanzania ft 5-0
 
Hajji Manara aliwahi kusema, nanukuu....... "Pale Yanga wenye akili ni watu wawili tu nao ni JK Mrisho na Sunday Manara"
Hili la Engineer hakika lina thibitisha kauli ya Manara.
 
Jamaa hapa nilimvua maksi sana.

Nakumbuka tuliwapiga kaiser 3-0.

JEMEDARI akasema kwa KIONGOZI mkubwa wa KLABU kama yeye kuvaa JEZI Hiyo ni USHAMBA SANA.
Wewe mtazamo wako ni nini ukiondoa alichosema Jemedari
 
View attachment 2643522siwezi kamwe kuiombea heri Yanga ....hata wakicheza na timu ya mtaani kwetu Mimi nitakuwa upande wa timu pinzani...
Hata YANGA VS YANGA , mimi nitakuwa upande wa Vs..
Kesho FT USM Alger 3 young Africans 0

Na Kila mtu aseme ameen
Kuna watu wapumbavu sana nchi hii
 
View attachment 2643522siwezi kamwe kuiombea heri Yanga ....hata wakicheza na timu ya mtaani kwetu Mimi nitakuwa upande wa timu pinzani...
Hata YANGA VS YANGA , mimi nitakuwa upande wa Vs..
Kesho FT USM Alger 3 young Africans 0

Na Kila mtu aseme ameen
Aisee umepiga kwenye mshono, umetonesha kidonda.naikataa Yanga kwa mambo yake yote
 
Back
Top Bottom