Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Tuliona danadana mahakamani siku siyo nyingi mara tukaambiwa ameshinda kesi. Wakati tunatafakari mara paap mzazi wa mtuhumiwa ni Mwenyekiti wa chama mkoa.
Funzo kubwa tunalopata hapa nikuwatesa wasiojitambua hadi wajitambue kwa sababu ni wajibu wao kujua mema na mabaya.
Hii siyo Ishara nzuri kwa Taifa linalotegemea kuwa na umoja, ni jambo jema kwa Taifa linalotegemea kumeguka aidha kisiasa au kiuchumi.
Soon mtoto atarejeshwa jukwaani tuone mtatufanya nini? Tutawapiga na mwisho tutajichagua kuwaongoza.