Kama familia ya Sabaya imerejeshewa madaraka basi dhulma inalipa mapema kuliko haki

Tuliona danadana mahakamani siku siyo nyingi mara tukaambiwa ameshinda kesi. Wakati tunatafakari mara paap mzazi wa mtuhumiwa ni Mwenyekiti wa chama mkoa.

Funzo kubwa tunalopata hapa nikuwatesa wasiojitambua hadi wajitambue kwa sababu ni wajibu wao kujua mema na mabaya.

Hii siyo Ishara nzuri kwa Taifa linalotegemea kuwa na umoja, ni jambo jema kwa Taifa linalotegemea kumeguka aidha kisiasa au kiuchumi.

Soon mtoto atarejeshwa jukwaani tuone mtatufanya nini? Tutawapiga na mwisho tutajichagua kuwaongoza.
Wanamuomba radhi baba Sabaya kwa kumpa cheo.
Wahuni siyo watu wazuri.
 
Lengai ole sabaya
Atabaki kua juuu, juu mawinguni ~ in Pierre liquid voice
 
Tuliona danadana mahakamani siku siyo nyingi mara tukaambiwa ameshinda kesi. Wakati tunatafakari mara paap mzazi wa mtuhumiwa ni Mwenyekiti wa chama mkoa.

Funzo kubwa tunalopata hapa nikuwatesa wasiojitambua hadi wajitambue kwa sababu ni wajibu wao kujua mema na mabaya.

Hii siyo Ishara nzuri kwa Taifa linalotegemea kuwa na umoja, ni jambo jema kwa Taifa linalotegemea kumeguka aidha kisiasa au kiuchumi.

Soon mtoto atarejeshwa jukwaani tuone mtatufanya nini? Tutawapiga na mwisho tutajichagua kuwaongoza.
Mkuu majambazi yote yamerejea kazini
 
Yule jamaa mnampigania anashinda Hospital huko kila kukicha inaonekana watu walijiongeza...
 
Tuliona danadana mahakamani siku siyo nyingi mara tukaambiwa ameshinda kesi. Wakati tunatafakari mara paap mzazi wa mtuhumiwa ni Mwenyekiti wa chama mkoa.

Funzo kubwa tunalopata hapa nikuwatesa wasiojitambua hadi wajitambue kwa sababu ni wajibu wao kujua mema na mabaya.

Hii siyo Ishara nzuri kwa Taifa linalotegemea kuwa na umoja, ni jambo jema kwa Taifa linalotegemea kumeguka aidha kisiasa au kiuchumi.

Soon mtoto atarejeshwa jukwaani tuone mtatufanya nini? Tutawapiga na mwisho tutajichagua kuwaongoza.
Kwa ccm chunja chunja ndio wanaopewa vyoe.

Ukiona mtu ametoboa Ndani ya ccm kuwa naye makini sana hata kama anajifanya Imamu au Mlokole.
 
Tatizo la Bongo ni fikra za kuwa kila kiongozi ni malaika na akikosea asipewe nafasi nyingine,

Kibaya zaidi kosa la mmoja watataka waunganishe ukoo mzima, wote waadhibiwe

Sasa hii ni pumba first class

Leo mtaanza na kurejeshewa madaraka ilhali kampeni na kura zimepigwa kihalali, na hamkawii mnaweza kuanza hata kutunga na kuropoka kuwa si ajabu aliyepita kapumzishwa ili huyu aingie kwa jinsi mlivyo na hila.
Hicho ulichoandika hapa sio tatizo la bongo.

Tatizo la bongo ni kuokoteza watu kama mafungu ya nyanya sokoni na kuwapa madaraka, hakuna vetting.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kama CHADEMA iliweza kumteua mtuhumiwa mkuu wa ufisadi kuwa mgombea wao wa urais basi hawana uhalali wowote wa kuinyooshea vidole CCM inapofanya maamuzi yake. Mwaka 2015 mlifanya maamuzi ya hovyo yanayowagharimu hadi leo.
 
Back
Top Bottom