Kama familia ya Sabaya imerejeshewa madaraka basi dhulma inalipa mapema kuliko haki

Wanamuomba radhi baba Sabaya kwa kumpa cheo.
Wahuni siyo watu wazuri.
 
Lengai ole sabaya
Atabaki kua juuu, juu mawinguni ~ in Pierre liquid voice
 
Mkuu majambazi yote yamerejea kazini
 
Yule jamaa mnampigania anashinda Hospital huko kila kukicha inaonekana watu walijiongeza...
 
Kwa ccm chunja chunja ndio wanaopewa vyoe.

Ukiona mtu ametoboa Ndani ya ccm kuwa naye makini sana hata kama anajifanya Imamu au Mlokole.
 
kulikuwa na makosa kweli au propaganda za kina mbowe?
Jamaa alifanyakazi vzr Tu Akina Mbowe wakaanza propaganda na uchonganishi hiki chama cha watoa taarifa kina majungu ajabu
 
Hicho ulichoandika hapa sio tatizo la bongo.

Tatizo la bongo ni kuokoteza watu kama mafungu ya nyanya sokoni na kuwapa madaraka, hakuna vetting.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kama CHADEMA iliweza kumteua mtuhumiwa mkuu wa ufisadi kuwa mgombea wao wa urais basi hawana uhalali wowote wa kuinyooshea vidole CCM inapofanya maamuzi yake. Mwaka 2015 mlifanya maamuzi ya hovyo yanayowagharimu hadi leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…