Kama familia ya Sabaya imerejeshewa madaraka basi dhulma inalipa mapema kuliko haki

Kwani ujui kwamba sheria ni kwa ajili ya watu masikini
 
Ukiiba dollar hamsini unafukuzwa kazi ukiiba dollar milion moja unahamishwa kitengo.
 
Sasa dunia yote hii yenye watu zaidi ya billion 7 sauti yangu pekee itaweza kusikika kweli kupinga dhuluma istoshe sina hata pa kukemea nikasikika
Mbona hata hapa tunasikika hata rais mwenyewe alisema huwa anapita hapa?
 
Tangu lini kosa mtoto kwanini ahukumiwe baba?
Pia Sabaya ameshinda kesi mbele ya mahakama wewe bado unataka ahukumiwe tu.
Kathibishe mahakamani ahukumiwe upya.
 
Wewe ndiye aliyekulawiti Sabaya? Naona kama una chuki zilizopitiliza
 
Ccm hupenda wale wenye history za kialifu kuwa nao karibu , uyu mzee inasemekana akiwa Mkuu wa wilaya aliwahi choma maboma ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…