Kama hakuna Mzee au kiongozi yeyote wa kitaifa atamwambia ukweli Mzee Makamba, yajayo yanafurahisha


Karma is bad. Endeleeni kutafuta muiaji, mkimpata mtatuambia.
 
Hivi habari za CCM siku hizi unazo? Safi sana. Kidumu Chama Cha Mapinduzi. Tatizo hamjui mnachokitaka.
 

Mbona kipindi CHADEMA wanapiga kelele Rais yupo wapi mlikuwa mnawasema vibaya. Mpaka walipotishia kufanya press conference ndipo usiku taarifa za kifo zikatangazwa. Kwangu Mimi CHADEMA ndio walikuwa Wana uchungu na Magufuli na sio CCM .
 
Kwa sababu speculation za kifo cha Dkt Magufuli zimeachwa kuzagaa bila uthibiti maana yake tunaamini tunachosikia sisi wananchi hasa kauli za viongozi waandamizi kushangilia kifo cha rais aliyekuwa madarakani

Lakini chanzo Cha kifo chake kilishatajwa. Kwamba ni mfumo wa umeme kwenye moyo.
 

Huyo siyo CHADEMA mkuu, ni CCM .
 
Yule amekufa kutokana na kukosa akili.

Alikuwa Kila mtu anamuona ni adui.

Akafanya hujuma na kuuwa watu waziwazi.

Nae mungu kamuuwa.

Right angekili kuhusu watu kupotea au kuuwa na kupigwa tundu lissu risasi hadharani. Leo angekuwepo hai.
 
Unataka kusemaje mkuu? Naye yuko asali gang?

Ndio, kwanini aseme vile Tena kwa hasira . Angekaa kimya asingehusishwa. Kitendo Cha kusema vile msikitini halafu baadae inaonekana aliugua kwa muda , inaleta maswali.

Ningekuwa mpelelezi ningeanza na huyo Waziri Mkuu halafu anafuata Chalamila.
 
Anarejesha mashambulizi kwa JPM na genge lake kina Bashiru, kwa walivyo mtenda hapo kabla.

Kweli maana alimsema Bashiru live, Bashiru akabaki anajichekesha kwa aibu.
 
Pamoja na kulalama Huku,niwambie ndugu zangu mkitaka nchi hii iwe mahala salama pa kuishi acheni unafiki Upinzani kama hautakuepo genge la Wanyonyaji litajenga mizizi vizazi na vizazi, mimi nashangaa sana mtu analalamika badala ya kutoa njia mbadala juu ya kesho, analalamika tu. Ukweli bila kupepesa mkitaka nchi iwe nyoofu kama rula Upinzani 40%Majority 60%.Nchi itanyooka hakuna atakae jifanya kambale. Ni hayo tu mkayatazame wenzangu!!
 
Wameshasahau waliiua CCM 2015 mpaka alipoifufua Magufuli.
Mwamba alikomaa kuinyoosha nchi iliyopindishwa na 'wahuni' wachache na aliwashughulikia haswa hadi wakabweka kama mbwa.

JPM atakumbukwa kwa mission kabambe alizoziasisi mara tu alipoingia madarakani, (kutumbua majipu, kudhibiti wenye vyeti feki, kufuta mishahara hewa, kufukuza bungeni wapinzani wa michongo, nk)

Madudu hayo yote yaliasisiwa na mzee wa Msoga.
 

CCM wote wachawi wanajuana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…