Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Nimekuzarau sanaMie nitajishtukiaje huku sio muaji kama nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuzarau sanaMie nitajishtukiaje huku sio muaji kama nyie
Yaani TumainiEl watanzania mpaka sasa hatuelewi nini maaana ya kitu kinachoitwa usalama wa taifa.
Haiwezekani rais auawe chini ya mikono yao halafu waliomuua waendelee na tambo mpaka kufikia hatua ya kujigamba kwa kauli bila kuogopa.
Ina maana wao ni walinzi wa maslahi gani? Kwa nini huu mjadala wa kumdhihaki Dkt Magufuli wasingeufunga ili watu wajadili maendeleo?
Inasikitisha sana kama kweli eti watu wazuri hawafi jamani basi Mungu yupo.
Mie sio wa kwanza kudhaurika na wewe sio wa kwanza kunidharau. Hatuwezi lingana mitazamoNimekuzarau sana
Hivi habari za CCM siku hizi unazo? Safi sana. Kidumu Chama Cha Mapinduzi. Tatizo hamjui mnachokitaka.Magufuli hakuifufua ccm acha upotoshaji, bali alikuwa ni mlevi wa madaraka aliyoyatumia kukandamiza upinzani. Usidhani wanaccm wenzake ni wajinga. Wanajua fika hakuwa na ushawishi na wala ccm haikuwa na ushawishi, bali watu walijawa na hofu, kisha wakalishwa mapenzi bandia kwa CCM. Kama aliifufua CCM mbona yeye ndio aliiongoza kwa kunajisi uchaguzi?
Wameshasahau waliiua CCM 2015 mpaka alipoifufua Magufuli.
Wapo watu wanadhani Magufuli hakuwa na watu na wapo wanadhani Magufuli alifanya Yale hakuambiwa au kutakiwa kuyafanya chini ya Baraza la usalama wa Taifa.
Ikumbukwe Magufuli amekufa kwa sababu ya CCM kuendelea kukaa madarakani hii sio siri wala Habari yakuficha Hayati Magufuli amekufa akilitetea Taifa lake china ya sera hizi hizi za chama Chama cha Mapinduzi.
Hapakuwahi kutokokea Kiongozi wa kitaifa aliwaambia ukweli Watanzania kama alivyo twambia Mzee Magufuli.
Hayati Magufuli amekufa akilitetea Taifa kwa dam na nyama hakulala hakupumzika hakuwa na muda wakupoteza kama kiongozi wakitaifa.
Alifanya kazi kwa uchungu mkubwa na alitaka kuona change for nation.
Sorry wajinga wachache I can call them rat of nation walimuona kama paka hatari katika nyumba alie taka kuangamiza uzao wote wamapanya ktk nyumba.
Leo naliuliza Baraza la usalama wa Taifa na ma general wote na wakuu wa usalama kama Magufuli alifanya kwa ajili ya tumbo lake watuambie ni wapi na kwa ajili gani some hata ya makampuni wanasema yake sio yake sio yake na hao secret service the know what was on the plan.
Kwa manufaa haya Taifa maana watu wabaya walikuwa wakitupangia mabaya usiku na mchana na tulikuwa tukionya mara kuonya some thing bad what to happen?
Tanzania nitapiga kubwa Tanzania ni taifa lenye Mali na kila aina ya utajiri why kikundi fulani ndio kinataka kula na kunyonya maziwa ya mama Tanzania wao na vizazi vyao nakutukana watu kwa masilahi yao binafsi?
Siku hazigandi siku hazigandi Mungu atamlipia Mwl Nyerere atamlipia Sokoine. Atamlipia Mkapa na Magufuli
MAKAMBA hakuyasema haya kwa BAHATI MBAYA wala ULIMI HAUKUTELEZA ALIYAPANGA NA wote hao WAKUBWA wanajua ndio Maana Alipewa JUKWAA
Kwa sababu speculation za kifo cha Dkt Magufuli zimeachwa kuzagaa bila uthibiti maana yake tunaamini tunachosikia sisi wananchi hasa kauli za viongozi waandamizi kushangilia kifo cha rais aliyekuwa madarakani
Wanataka kutuaminisha kwamba ni Coincidence tu!!
Unataka kusemaje mkuu? Naye yuko asali gang?Mbona waziri Mkuu mnamuacha yeye ndio alisema Rais Ni mzima na anachapa kazi.
Mungu Alipo sema Namnukuu ''Fanya kazi siku sita! ufanye Mambo yako yooote! lkn siku ya saba ni sabato ya Bwana Mungu wako!!''....alikuwa hatanii, chukulia huu km mfano ukawafundishe wana CHADEMA wenzako wooote!
Km yeye Mungu alimpumzika siku ya saba Jiwe yeye ni nani achape kazi za kitaifa mfululizo ivo??...km siyo wizi alikuwa anafanya?? ***** Kabendera amekufa kifo kibaya ajili ya Mateso ya yeye jiwe!!
Alitetea Taifa la chato?? Rais gani ana kuwa na upendeleo na chuki za wazi ivooo?? Mungu hana chuki na shetani japo atamuangamiza kifo kizuri!
Yule amekufa kutokana na kukosa akili.Wapo watu wanadhani Magufuli hakuwa na watu na wapo wanadhani Magufuli alifanya Yale hakuambiwa au kutakiwa kuyafanya chini ya Baraza la usalama wa Taifa.
Ikumbukwe Magufuli amekufa kwa sababu ya CCM kuendelea kukaa madarakani hii sio siri wala Habari yakuficha Hayati Magufuli amekufa akilitetea Taifa lake china ya sera hizi hizi za chama Chama cha Mapinduzi.
Hapakuwahi kutokokea Kiongozi wa kitaifa aliwaambia ukweli Watanzania kama alivyo twambia Mzee Magufuli.
Hayati Magufuli amekufa akilitetea Taifa kwa dam na nyama hakulala hakupumzika hakuwa na muda wakupoteza kama kiongozi wakitaifa.
Alifanya kazi kwa uchungu mkubwa na alitaka kuona change for nation.
Sorry wajinga wachache I can call them rat of nation walimuona kama paka hatari katika nyumba alie taka kuangamiza uzao wote wamapanya ktk nyumba.
Leo naliuliza Baraza la usalama wa Taifa na ma general wote na wakuu wa usalama kama Magufuli alifanya kwa ajili ya tumbo lake watuambie ni wapi na kwa ajili gani some hata ya makampuni wanasema yake sio yake sio yake na hao secret service the know what was on the plan.
Kwa manufaa haya Taifa maana watu wabaya walikuwa wakitupangia mabaya usiku na mchana na tulikuwa tukionya mara kuonya some thing bad what to happen?
Tanzania nitapiga kubwa Tanzania ni taifa lenye Mali na kila aina ya utajiri why kikundi fulani ndio kinataka kula na kunyonya maziwa ya mama Tanzania wao na vizazi vyao nakutukana watu kwa masilahi yao binafsi?
Siku hazigandi siku hazigandi Mungu atamlipia Mwl Nyerere atamlipia Sokoine. Atamlipia Mkapa na Magufuli
Unataka kusemaje mkuu? Naye yuko asali gang?
Anarejesha mashambulizi kwa JPM na genge lake kina Bashiru, kwa walivyo mtenda hapo kabla.
Pamoja na kulalama Huku,niwambie ndugu zangu mkitaka nchi hii iwe mahala salama pa kuishi acheni unafiki Upinzani kama hautakuepo genge la Wanyonyaji litajenga mizizi vizazi na vizazi, mimi nashangaa sana mtu analalamika badala ya kutoa njia mbadala juu ya kesho, analalamika tu. Ukweli bila kupepesa mkitaka nchi iwe nyoofu kama rula Upinzani 40%Majority 60%.Nchi itanyooka hakuna atakae jifanya kambale. Ni hayo tu mkayatazame wenzangu!!Wapo watu wanadhani Magufuli hakuwa na watu na wapo wanadhani Magufuli alifanya Yale hakuambiwa au kutakiwa kuyafanya chini ya Baraza la usalama wa Taifa.
Ikumbukwe Magufuli amekufa kwa sababu ya CCM kuendelea kukaa madarakani hii sio siri wala Habari yakuficha Hayati Magufuli amekufa akilitetea Taifa lake china ya sera hizi hizi za chama Chama cha Mapinduzi.
Hapakuwahi kutokokea Kiongozi wa kitaifa aliwaambia ukweli Watanzania kama alivyo twambia Mzee Magufuli.
Hayati Magufuli amekufa akilitetea Taifa kwa dam na nyama hakulala hakupumzika hakuwa na muda wakupoteza kama kiongozi wakitaifa.
Alifanya kazi kwa uchungu mkubwa na alitaka kuona change for nation.
Sorry wajinga wachache I can call them rat of nation walimuona kama paka hatari katika nyumba alie taka kuangamiza uzao wote wamapanya ktk nyumba.
Leo naliuliza Baraza la usalama wa Taifa na ma general wote na wakuu wa usalama kama Magufuli alifanya kwa ajili ya tumbo lake watuambie ni wapi na kwa ajili gani some hata ya makampuni wanasema yake sio yake sio yake na hao secret service the know what was on the plan.
Kwa manufaa haya Taifa maana watu wabaya walikuwa wakitupangia mabaya usiku na mchana na tulikuwa tukionya mara kuonya some thing bad what to happen?
Tanzania nitapiga kubwa Tanzania ni taifa lenye Mali na kila aina ya utajiri why kikundi fulani ndio kinataka kula na kunyonya maziwa ya mama Tanzania wao na vizazi vyao nakutukana watu kwa masilahi yao binafsi?
Siku hazigandi siku hazigandi Mungu atamlipia Mwl Nyerere atamlipia Sokoine. Atamlipia Mkapa na Magufuli
Mkuu
Kuna uwezekano huko mbeleni kesi ikafunguliwa na jamuhuri kuhusu hii kitu !
Kuna watu wataacha kiti KWA kuguswa na evidences!
Ndicho nionacho!
Mwamba alikomaa kuinyoosha nchi iliyopindishwa na 'wahuni' wachache na aliwashughulikia haswa hadi wakabweka kama mbwa.Wameshasahau waliiua CCM 2015 mpaka alipoifufua Magufuli.
Je vyombo vitaweza kuchunguza?Tatizo Nani atafungua hiyo kesi na atamshtaki Nani?
Hebu tueleze alifufua kivipi? Maana tunaukumbuka uchaguzi wa 2020.
Nimetazama clips za hotuba ya Kikwete na Makamba kwa umakini nikaona hawa wazee safari hii walikuwa wana hasira hatari. JK huwa yuko soft kwenye hotuba zake ila jana alikuwa wa moto mno. Neno mpuuzi, wapuuzi kalitaja mara kadhaa. Yaani hakuwa na masikhara hata kidogo. Makamba alikuwa na hisia kali toka juzi akihojiwa na waandishi. Mzee Makamba ndo alishindwa kabisa kuji-control. Bado sijaelewa kabisa sababu za wazee kucharuka hivi. Halafu mbona Bashiru alikuwa ka-relax kabisa? Nitafuatilia vizuri.