Kama hakuna Mzee au kiongozi yeyote wa kitaifa atamwambia ukweli Mzee Makamba, yajayo yanafurahisha


Mkuu Kabendera yupo hai au ulimaanisha mama yake?
 
CHATO INTERNATIONAL AIRPORT,
O
 
Tatizo Nani atafungua hiyo kesi na atamshtaki Nani?
Wataanza kuvujisha sms,sauti za washukiwa mtaani!!

Kuna activist wengi sana huko kwenye mitandao!

Sauti hizo zitaleta taharuki na kesi itafunguliwa na jamhuri kubaini Hilo!

Kama kesi ya MBOWE ilivokuwa mwisho wa siku wataumbika wengi Sana na kujiuzulu!!
 
Hivi Tanzania kuna usalama wa Taifa au usalama wa ccm? Taifa linaliwa kila uchwao na hao viongozi na hatuoni chochote ila ccm ikiguswa kidogo tu utaona moto wake. Nadhani nchi hii ccm ndio inalindwa zaidi kuliko maslahi ya Tanzania.
 
Tanzanians don't care about CCM.

By the way ndio kwanza tunafurahi Zaidi kuona "manguruwe" yakiraruana katika karamu yao.
 
Nani alimuua JPM?..

Weka vitu bayana..wataje waziwazi hapa..otherwise ni uzushi tu..Kifo ni cha kila binadamu.
Na tunachojua sisi Mungu alituamulia huu ugomvi na kazi ya Mungu haina makosa,hizi theories nyingine tunachoshana tu. Huyu mleta mada mwenyewe alihusika mauaji ya Ben Saanane.
 
Niseme sijawahi kumkubali Magufuli na alinichukiza zaidi alipojifanya kuwachukia CHADEMA na kujiona mwamba. Ila sisi CHADEMA hatuna ubaya na mtu alipokuwa haonekani CHADEMA ndio walipiga kelele , lakini Kama kawaida wanafiki wakadai yupo hai .
Yule Kiswaswadu ndiyo alipitiliza kwa kusema uongo akiwa msikitini kuwa jamaa yupo anachapa kazi wakati alishakata moto kitambo
 
Ukweli mchungu sana
 
Kiukweli mzee Magufuli hawa jamaa walimuua ,na dalili zinajionyesha wazi kabisa
 
Maoni ya gay
 
Mzee Makamba unamuonea bure, muulizeni aliyemkaribisha kwanini alimkaribisha Makamba ihali kuna wazee wengi wastaafu walikuwepo na wanajulikana wana hekima na busara na walikuwa na vyeo vya juu kuliko Makamba.

Jibu ni moja tu, Makamba aliandaliwa apige vijembe na kudhihaki viongozi wanaohoji na bahati mbaya chawa huwa hawana busara akapitiliza akasema hadharani wanayoyasema kwenye vikao vya siri.
 
Nani alimuua JPM?..

Weka vitu bayana..wataje waziwazi hapa..otherwise ni uzushi tu..Kifo ni cha kila binadamu.
Wewe vipi....umetumwa na chawa wenzako nini?? Ushahidi wa nini wakati ni kweli JPM aliuwawa!
 
Mzee Makamba huwa ni mropokaji siky zote, we unategemea nn kutoka kwa Mjeda mstaafu aliyepewa uongozi kwa sifa ya kuimbisha vzr nyimbo za mchaka mchaka?!.
Hamna kitu pale kichwani!.
 
Mungu alipumzika siku ya Saba kwasababu alimaliza kazi. Kama kazi iliendelea niambie siku ya nane alifanya kazi gani

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…