Emen
JF-Expert Member
- Jun 22, 2021
- 2,069
- 3,516
Mungu Alipo sema Namnukuu ''Fanya kazi siku sita! ufanye Mambo yako yooote! lkn siku ya saba ni sabato ya Bwana Mungu wako!!''....alikuwa hatanii, chukulia huu km mfano ukawafundishe wana CHADEMA wenzako wooote!
Km yeye Mungu alimpumzika siku ya saba Jiwe yeye ni nani achape kazi za kitaifa mfululizo ivo??...km siyo wizi alikuwa anafanya?? ***** Kabendera amekufa kifo kibaya ajili ya Mateso ya yeye jiwe!!
Alitetea Taifa la chato?? Rais gani ana kuwa na upendeleo na chuki za wazi ivooo?? Mungu hana chuki na shetani japo atamuangamiza kifo kizuri!
Mkuu Kabendera yupo hai au ulimaanisha mama yake?