Kama hali ndio hii huko Ngorongoro, basi Serikali ijitafakari upya kwani tunaweza pata hata laana kama Taifa

Kama hali ndio hii huko Ngorongoro, basi Serikali ijitafakari upya kwani tunaweza pata hata laana kama Taifa

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Inaumiza, inasikitisha unless sio kweli.

Jionee:

Screenshot_20220213-125145_Twitter.jpg
 
Si vema Kuwatetea Wachache (Wanaoishi kwenye hifadhi kama kuishi kwao hapo kunahatarisha Hifadhi) ukizingatia hifadhi hio ni kwa manufaa ya Taifa

Vilevile ni mbaya zaidi kama unafukuza wachache (ila ni wengi zaidi ya mmoja) ili umpatie huyo mmoja faida unless otherwise faida ya huyo mmoja itakuwa manufaa ya hao wachache na Taifa kwa Ujumla

Two Wrongs don't make it Right... Tufanye vitu kwa manufaa ya wote, Taifa na Dunia kwa Ujumla..., na ufanyaji huo uwashilikishe na hao wachache ili waeleweshwe faida zilizopo na sio vinginevyo...
 
Inaumiza, inasikitisha unless sio kweli.

Jionee:

View attachment 2118293
Mavumbi hayo na makundi makubwa ya hii mifugo ndio uchungaji unaotetewa na huyu popoma?

Mazingira yameharibika vumbi tuu linatimka na mtu anatunga story za kijinga za kuhalalisha uharibifu kuendelea.

Serikali chukua maamuzi haraka mijadala mingi haileti tija,fanya uamzi sasa na lawama baadae kuokoa Ngorongoro..
 
Back
Top Bottom