Kama hali ndio hii huko Ngorongoro, basi Serikali ijitafakari upya kwani tunaweza pata hata laana kama Taifa

Kama hali ndio hii huko Ngorongoro, basi Serikali ijitafakari upya kwani tunaweza pata hata laana kama Taifa

wanyama wote wapelekwe Burigi-Chato, hapo tuwaache Wamasai waishi maana ishakuwa nongwa tayari.... waruguru nasisi tunataka kukaa mikumi ndani, wandengereko wanahitaki kuishi selou nao..
 
Wanaorekodi badala ya kumsaidia huyo Bibi, bila kumtia adabu huyo msengerema Kwa kumnyeshea mvua ya fimbo, washtakiwe tena na wao wachapwe mboko hamsa WA ishirini!
hakika, yaani wameishia kurekodi tu, hata kutoa msaada wa ziada kwa bibi walishindwa?
tumepoteza ubinadamu kabisa.
 
Sub-hanallah!! Hivi mshenzi kama huyu bado yuko uraiani, na maisha yanaendelea?
Nimeshikwa na hasira ya kuua binadamu, Bibi Mzee mtu mzima, anampiga kiasi hicho na mijitu inarekodi fimbo inaisha, anatafuta fimbo ingine, bado wanaorekodi??

Wamaasai wahamishwe Tu, kama vijana wao hawana adabu wahamishwe. Wachanganywe huku mitaani tuwafunze adabu! Yerooo napiga mama yeyoo mseee??
 
Walikuwa wakichukua ushahidi kwanza
Ushahidi fimbo ya Kwanza inaisha, inachukuliwa fimbo nyingine bado Tu wanarekodi, anatafuta fimbo ya pili wanaendelea kumrekodi. Kwanini wasimstiri Yule mama na kumshughulikia ipasavyo huyo boys!?

Wanapenda sana kuona wamama wakinyanyasika siyo bure aisee!
Sijafurahiii daah nasisimkwa kila nikiwaza, yaani mwanangu anipigie mke wangu, au mdogo wangu anipigie mamangu...weeeeh Mungu nizuir!
 
Nimeshikwa na hasira ya kuua binadamu, Bibi Mzee mtu mzima, anampiga kiasi hicho na mijitu inarekodi fimbo inaisha, anatafuta fimbo ingine, bado wanaorekodi??

Wamaasai wahamishwe Tu, kama vijana wao hawana adabu wahamishwe. Wachanganywe huku mitaani tuwafunze adabu! Yerooo napiga mama yeyoo mseee??
Kwa akili zako hao ni Wamaasai? Hakuna jamii yenye maadili yake yenyewe nchi hii zaidi ya Wamaasai, Wameru na Wairaq.
Vijana wa kimaasai wana nidhamu kwa wakubwa kuliko kawaida.
 
Wanapenda mno,, na wanapenda kuua sana wajaalaana wakubwa ndugu zake Samia.
Marais kutoka Zanzibar watakuwa na historia mbaya sana dhidi ya Wanangorongoro. Wakati pori la Loliondo linauzwa kwa Waarabu, Rais alikuwa Mwinyi. Wakati sasa watu ndani NCA wanapata tishio hatari kwa maisha yao, Rais ni Samia.
 
[emoji871]Wamasai wakiachiwa Ngorongoro itawachukua wiki tatu na nusu kumaliza kila kitu kuzunguka kreta![emoji1241]
 
17 February 2022
Ngorongoro Conservation Area Authority,
Northern Tanzania

Ngorongoro clobbestone Road, Tanzania

One of the most beautiful clobbestone road in the world, where you encounter wildlife and UNESCO's World Heritage site The Ngorongoro crater


The area was established in 1959 as a multiple land use area, with wildlife coexisting with semi-nomadic Maasai pastoralists traditional livestock grazing. It includes this spectacular Ngorogoro Crater, the world's largest caldera, and Olduvai Gorge a 14km long deep ravine
Source : Traveller
 
Back
Top Bottom