Kama hali ndio hii huko Ngorongoro, basi Serikali ijitafakari upya kwani tunaweza pata hata laana kama Taifa

Kama hali ndio hii huko Ngorongoro, basi Serikali ijitafakari upya kwani tunaweza pata hata laana kama Taifa

Ngorongoro imekua ya Samia na warabu wenzie, na warabu wanavyotuona waafrika manyani, watatununua na kutugombanisha. Na tulivyo manyani kweli kweli tutagombana nakuuana, warabu wachukue Ngorongoro wawinde wale nyama poli kwa raha zao.
Whatever the case ningekuwa Samia saizi mngekuwa hampo, haiwezekani mnaharibu mazingira afu mnachekewa kwa maelezo ya kizushi kama hayo.
 
Hawa Maasai na ng'ombe wao mnaona Wana thamani kubwa kuliko chanzo kikuu cha fedha za kigeni kuliko vyote kwenye sekta ya utalii??
Kutoka watu elfu nane hadi zaidi ya laki na nusu sasa mnataka kuigeuza Ngorongoro kuwa ghetto kama Kibera miaka michache ijayo sio?
Tuache cheap politics watu wangapi wame hamishwa sehemu nyingine nchini, nini so special juu ya hawa?
 
February 7, 2022

Mazingira ya sehemu inayoitwa Mto wa Mbu, Tanzania 2022




Source : traveller
 
Eti huyo punguani na wenzie wametunga uzushi wa kuwa fool wajinga waendelee kuhalalisha huu uharibifu..

Ningekuwa Rais saizi wangeshakuwa hawapo huko.
Kama hapo kwenye picha ndio ngorongoro basi amejichanganya maana hiyo picha inaonyesha pamekuwa jangwa cheki hiyo vumbi na hakuna hata nyasi. Hii picha inawahukumu wenyewe anaowatetea.
 
10 February 2022

Daraja la Wami Pwani



Source : traveller
 
Kama hapo kwenye picha ndio ngorongoro basi amejichanganya maana hiyo picha inaonyesha pamekuwa jangwa cheki hiyo vumbi na hakuna hata nyasi. Hii picha inawahukumu wenyewe anaowatetea.
Ndivyo kulivyo,kwanza huko hakuna mvua msimu huu.
 
01 February 2022
Engaruka Tanzania

Kampeni ya kupanda miti Engaruka, Tanzania kupambana na mabadiliko ya tabia nchi climate change


NGO ya Tanzania kwa jina LEAD FOUNDATION Over 9 million trees restored! - LEAD Foundation kwa kushirikiana na wananchi Nguruka Kigoma, Engaruka Kaskazini ya Tanzania na Dodoma katikati ya Tanzania imefanikiwa kupanda miti ili kurudisha uoto na miti kupambana na janga la sehemu nyingi za Tanzania zisigeuke jangwa.

Sustained droughts are making farming near impossible in Tanzania. The soil is to dry for planting. The organization Justdiggit wants to alleviate the situation by planting trees in a way that encourages moisture collection. Not only do the trees grow better, the soil is can recover in their shade.
Source : DW.com
 
Inaumiza, inasikitisha unless sio kweli.

Jionee:

View attachment 2118293

Kwa picha hii naishauri serikali ikiwezekana kuanzia juma tatu waanze kuwaondoa hawa wafugaji hili eneo limeanza kugeuka jangwa kabisa!

Wasipo chukua hatua basi kila kitu kitatoweka kabisa na hakuna mnyama atabaki pale aiseee...

Lazima tukubali kuwa hawa wanyama kamwe awawezi kuchanganyika na binadamu halafu wakabaki salama!

Hawa wafugaji inabidi waondolewe kuokoa hii hifadhi!
 
January 21 , 2022


OVER 9 MILLION TREES RESTORED!​

HOME / OVER 9 MILLION TREES RESTORED!
21
JAN
blog-cover-14.jpg

Over 9 million trees restored!

𝟗.𝟏𝟓 𝐌𝐢𝐥𝐥𝐢𝐨𝐧 𝐓𝐫𝐞𝐞𝐬 is the total number of trees we have brought back together with over 𝟏𝟐𝟎,𝟎𝟎𝟎 𝐋𝐨𝐜𝐚𝐥 𝐅𝐚𝐫𝐦𝐞𝐫𝐬 in Dodoma region of Tanzania who received regreening knowledge from us, champion farmers and our wonderful partner Justdiggit . We have restored these trees in just 4 years using the 𝐊𝐢𝐬𝐢𝐤𝐢 𝐇𝐚𝐢 𝐭𝐞𝐜𝐡𝐧𝐢𝐪𝐮𝐞 commonly known as 𝐅𝐌𝐍𝐑.
FMNR is a low-cost, sustainable land restoration technique used to combat poverty and hunger amongst poor subsistence farmers in developing countries by increasing food and timber production, and resilience to climate extremes. It involves the systematic regeneration and management of trees and shrubs from tree stumps, roots and seeds. FMNR is our number one method we use in environmental conservation.
FMNR is especially applicable, but not restricted to, the dryland tropics. As well as returning degraded croplands and grazing lands to productivity, it can be used to restore degraded forests, thereby reversing biodiversity loss and reducing vulnerability to climate change. FMNR can also play an important role in maintaining not-yet-degraded landscapes in a productive state, especially when combined with other sustainable land management practices such as conservation agriculture on cropland and holistic management on range lands.
FMNR adapts centuries-old methods of woodland management, called coppicing and pollarding, to produce continuous tree-growth for fuel, building materials, food and fodder without the need for frequent and costly replanting. On farmland, selected trees are trimmed and pruned to maximise growth while promoting optimal growing conditions for annual crops (such as access to water and sunlight). When FMNR trees are integrated into crops and grazing pastures there is an increase in crop yields, soil fertility and organic matter, soil moisture and leaf fodder. There is also a decrease in wind and heat damage, and soil erosion Over 9 million trees restored! - LEAD Foundation
 
Hawa watalii wanao tetewa utashangaa wana zira kuja wakiona kuna unyanyasaji.
 
Ngorongoro ni sehemu ya hifadhi na wanyama
Mwanadam akichekewa hapo,ngorongoro itapotea
Lazima serikali ichukue na kufanya maamuzi magumu

Ova
 
Inaumiza, inasikitisha unless sio kweli.

Jionee:

View attachment 2118293
Loliondo is another story the blunder was already been made since mwinyi's error but speaking of Ngorongoro crater that's another story and we should not mix it with Loliondo hunting block which was leased to the Arabs rumour has it from UAE something of a like. Ngorongoro crater people have to vacate to leave area for the flora and fauna (animals and plants)to flourish
 
Back
Top Bottom