Kama hali ndio hii huko Ngorongoro, basi Serikali ijitafakari upya kwani tunaweza pata hata laana kama Taifa

Kama hali ndio hii huko Ngorongoro, basi Serikali ijitafakari upya kwani tunaweza pata hata laana kama Taifa

Wananchi wa Monduli kwa kushirikiana na shirika la NGO la Lead Foundation Tanzania pamoja na kundi la wafadhili toka Ujerumani ERBACHER STIFTUNG Stiftung | Erbacher wanaendelea na mradi wa kampeni kubwa kutunza mazingira .


PASTORALIST MANAGED NATURAL REGENERATION (PMNR) PROJECT​

HOME / PASTORALIST MANAGED NATURAL REGENERATION (PMNR) PROJECT
Monduli-web.jpg

PASTORALIST MANAGED NATURAL REGENERATION (PMNR) PROJECT


Together with Justdiggit and Erbacher Foundation we are happy to start a Pastoralist Managed Natural Regeneration (PMNR) project in Monduli, Arusha, Tanzania.
The Pastoralist Managed Natural Regeneration (PMNR) project aims at improving peoples’ livelihoods and climate change resilience in Monduli district, Arusha, Tanzania. The project will use Rainwater Harvesting (RWH) and Pastoralist Managed Natural Regeneration (FMNR) methods to restore the degraded rangelands in the area. These methods are fast, low cost and sustainable and will allow pastoralists inhabiting the most degraded landscapes to restore their pastures lands and farm soils. This will have a positive effect on water availability, soil health, crop yields and most importantly grass and fodder for livestock.
The project is expected to reach more than 1200 households in Moduli district and targets at least 400 pastoral households to have restored 32,000 trees and 200 hectares of rangeland through Pastoral Managed Natural Regeneration and Rainwater Harvesting

Source : Pastoralist Managed Natural Regeneration (PMNR) Project - LEAD Foundation
 
Chadema na wanaharakati feki hapo ndo hukosea
 
Tembelea mbuga maarufu ya Ngorongoro crater, Bi. Zuhura Yunus anahimiza utalii wa ndani



Ngorongoro Crater in Tanzania (EA) is the deep volcanic crater – the largest unfolded and unbroken caldera in the world which is rich for pasture and permanent water to support more than 25,000 animals. It is the only place in the world that one could see the Big Five in a short time while doing the game drive. The Live streaming is showing most of the animals that are found in the crater floor and its surroundings. Watch our live streaming for an unforgettable experience.
 
Ndivyo kulivyo,kwanza huko hakuna mvua msimu huu.
Duh aisee basi no hatari kubwa sana, naona kabisa kuhusu ngorongoro Kuna kundi la wasiojua na wanaojua Ila pia hapo kila kundi limezaa makundi mawili.

Kundi la wasiojua limezaa wamasai wanaopewa ng'ombe kuchunga za matajiri waliopo mijini pia Kuna akina sisi ambao tupo tunasikilizishwa kotekote tunaona waondoke Mara wasiondoke Yani hatujui ukweli na hatuishi huko mbugani.

Pili Kuna kundi la wanaojua lakini wao Wana interest ya hilo eneo na hawataki wamasai wakae hapo Ila wanatafuta justification ya kuwaondoa, lakini Kuna kundi ambalo wanajua ukweli na wanatetea kwa sababu wanaona kabisa kuna dhuluma inatendela.

Sasa ni kazi ya wao watoke nje ya box kupigania haki yao.
 
13 February 2022

VIDEO CLIP IMETUPIWA LEO NA MAMLAKA YA BONDE LA NGORONGORO, FEBRUARY 13, 2022

Hali halisi ya Ngorogoro crater leo 13 February 2022




Dear viewers, Ngorongoro Crater in Tanzania (EA) is the deep volcanic crater – the largest unfolded and unbroken caldera in the world which is rich for pasture and permanent water to support more than 25,000 animals. It is the only place in the world that one could see the Big Five in a short time while doing the game drive. The Live streaming is showing most of the animals that are found in the crater floor and its surroundings. Watch our live streaming for an unforgettable experience.

Source : Ngorongoro Conservation Area
 
Ngorongoro imekua ya Samia na warabu wenzie, na warabu wanavyotuona waafrika manyani, watatununua na kutugombanisha. Na tulivyo manyani kweli kweli tutagombana nakuuana, warabu wachukue Ngorongoro wawinde wale nyama poli kwa raha zao.
Hivi waarabu wanapenda sana nyamapori
 
Inaonekana kuna watu wana ulaji kwenye huo uwindaji wa mwarabu, hoja ya wamasai kuharibu hifadhi ni kichaka cha kujificha.....
 
Aisee,hiyo picha hapo,hiyo ardhi ni Kame kabisa...Ndo ngorongoro hiyo au?...
 
Tukiingiza siasa hapo miaka ijayo tutaanza kusombelea wanyama kuwaweka Ngorongoro.
Watu kuendelea kuwepo ndio salama ya Wanyama. Watu wanataka kuwinda. Hilo eneo halipaswi hata kutolewa kama eneo la kuwinda. Eneo hilo lina muunganiko mkubwa na Hifadhi zingine kama Manyara, Tarangire, Serengeti na Mapori ya Akiba ya Maswa na Loliondo.
 
Watu kuendelea kuwepo ndio salama ya Wanyama. Watu wanataka kuwinda. Hilo eneo halipaswi hata kutolewa kama eneo la kuwinda. Eneo hilo lina muunganiko mkubwa na Hifadhi zingine kama Manyara, Tarangire, Serengeti na Mapori ya Akiba ya Maswa na Loliondo.
Hakuna ushahidi kuwa kuna watu wanataka kuwinda.
 
Wanaorekodi badala ya kumsaidia huyo Bibi, bila kumtia adabu huyo msengerema Kwa kumnyeshea mvua ya fimbo, washtakiwe tena na wao wachapwe mboko hamsa WA ishirini!
Walikuwa wakichukua ushahidi kwanza
 
Back
Top Bottom