Si vema Kuwatetea Wachache (Wanaoishi kwenye hifadhi kama kuishi kwao hapo kunahatarisha Hifadhi) ukizingatia hifadhi hio ni kwa manufaa ya Taifa
Vilevile ni mbaya zaidi kama unafukuza wachache (ila ni wengi zaidi ya mmoja) ili umpatie huyo mmoja faida unless otherwise faida ya huyo mmoja itakuwa manufaa ya hao wachache na Taifa kwa Ujumla
Two Wrongs don't make it Right... Tufanye vitu kwa manufaa ya wote, Taifa na Dunia kwa Ujumla..., na ufanyaji huo uwashilikishe na hao wachache ili waeleweshwe faida zilizopo na sio vinginevyo...