Kama Hamas wameweza Comfortably kujipenyeza Israel yenye Usalama wa Taifa Bora, vipi nchi zingine Afrika zinazojisifu kuwa na Usalama wa Taifa tishio?

Kama Hamas wameweza Comfortably kujipenyeza Israel yenye Usalama wa Taifa Bora, vipi nchi zingine Afrika zinazojisifu kuwa na Usalama wa Taifa tishio?

Umesema ukweli mtupu na nililionya hili Siku nyingi sana kwa kuianzishia hadi Uzi hapa JamiiForums, ila GENTAMYCINE sikueleweka lakini sasa taratibu mtanielewa / watanielewa na kujua kuwa Wengine ni Manabii, Wabarikiwa na Waonaji mbali wa Kweli.
Safari moja nilikuwa vijiji fulani Nyanda za Juu Kusini kando ya ziwa Nyasa, nilikutana na shape 2 za kinyarwanda eti zinauza maua.

Nawauliza wenyeji wanasema ni wageni wamepanga chumba. Kazi yao ni kuuza maua tu.

Kwa sisi wenye abc za haya mambo tukajua tu, wana kazi maalum.

Baada ya siku chache walipotea hata kwa mwenye nyumba hawakuaga.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Hakuna lolote. Wako busy na wale mademu wauza fremu.

Unaambiwa PK kajaza watu wake hapa nchini, lakini wamewaacha tu.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Pk kanda ya ziwa 40% ya madiwani waliochaguliwa uchaguzi uliopita ni watu wake,kuhusu swala la mademu wa kitutsi wanajulikana ila hao wanene ndio nyumba ndogo zao
 
Mkuu umesahau mwaka 1998 walivyoulinda ubarozi wa US hapa usishambuliwe na magaidi?
Ukitaka kujua kama wako vizuri gusa chama pendwa!
 
Ngoja sasa GENTAMYCINE nijiandae kwenda zangu Site Mapinga kujenga Nyumba za Watu ( nikiwa kama Saidia Fundi ) nikipitia njia niipendayo ya Boko Magengeni kisha naingia nayo kuelekea Mbweni Malindi kupitia Chuo cha Mafunzo Yasiyojulikana nivuke Mto Mpiji na nikatize Kiaraka kilipo Chuo cha Makomandoo hadi nifike zangu Kiembeni na mwishoni nikite Kambi katika Center maarufu ya Mchango wa Hela.

Kama Israel ina Idara ya Usalama wa Taifa tishio na mahiri duniani lakini Wajanja wa Hamas wameweza Kujipenyeza, Kujipanga, Kuratibu Nashambuliwa na kufanya Kilichofanyika vipi kwa yale Mataifa mengine ( hasa Barani Afrika ) ambayo mengine Kutwa yanatamba au Watendaji wao wa Usalama wa Taifa Wanatamba mitaani huku Wakijiamini kuwa Idara yao ni Kali na kwamba kamwe katika hizo nchi zao hakuna Adui atakayeweza Kuingia wakati kuna baadhi ya hizo nchi ( GENTAMYCINE sizijui ) kwa sasa maeneo yao Nyeti ( ya Kambi ) kumejengwa Fremu za Biashara za Kupangisha na kuna zingine hadi zina Gereji za Bajaji, Pikipiki na hata Gari.
Pitia hapa getini nikupe hela ukaniletee vitumbua kwa yule mama pale kwa mbele
 
Humo kwenye fremu zilizojengwa na kwenye mafundi gereji kuna wanausalama, adui asijaribu kutumia fremu hizo kufanya yake cha moto atakipata mapema tu. Israel ilijisahau tu kuwa adui yake yuko karibu. Sasa tulia usikilizie muziki mnene watakaoupata hamas, raia wema bora waanze kuondoka mapema. Magaidi shambulio lao wameliita mafuriko, Israel italeta lao kali kuliko mafuriko, niwasaidie kuwapa jina waliite operation hell fire. Hamas watajuta kuchokoza dude
 
Kupigwa ni ishu ya timing tu na Sio ishu ya kuwa na ulinzi imara.
USA kapigwa tatu ndani ya nchi yake wangeanza na pentagon wangefanikiwa lakini madhara yangekuwa kidogo thus wakaanza na World Trade center ili kutoa kafara watu wengi
 
Usiwaamini waisrael, subir wakamilishe mipango yao kwanza ndo utajua Intel yao ipoje na kwann waliruhusu Yale yatokee.

Huko maitaifa ya bara lile haya hayawezi tokea ardhi ipo ya kutosha mihadarati sio issue we uza tu kikubwa top leaders wawe na parcents yaan sioni sababu ya unayoyasema kutokea
Possible walichimba mahandaki wakapita chini Kwa chini Kwa juu ardhini wasingeweza kabisa
 
Back
Top Bottom