Kama Hamas wameweza Comfortably kujipenyeza Israel yenye Usalama wa Taifa Bora, vipi nchi zingine Afrika zinazojisifu kuwa na Usalama wa Taifa tishio?

Kama Hamas wameweza Comfortably kujipenyeza Israel yenye Usalama wa Taifa Bora, vipi nchi zingine Afrika zinazojisifu kuwa na Usalama wa Taifa tishio?

Mkuu sio kwamba HAMAS Walifanikiwa au ISRAIL walikuwa hawana taarifa mzee baba!!! shirika lao la kijasusi la MOSSAD kwa kushirikiana na MAJASUSI wa MISRI walishanusa na wakatoa taarifa kwa NETANYAU,na NETANYAU akaitisha kikao cha siri cha usalama,,lakini kutoka na ISRAIL kutafuta kila njia kuichukua GAZA na kuogopa lawama za DUNIA,,wakaona hii ndio fursa,so wakakubaliana watulie tu!! ila jamaa wakitekeleza tu shambulio{HAMASS} basi ISRAIL apate sababu ya kuibomoa GAZA,kuijenga upya baada ya ushindi,kuitawala na kujipanua!!!!!"THINK CRITICALLY!!!!!!!!!!!!!!!
Boss utakuwa na mtandao mkubwa sana yote hayo umeyajua ukiwa huku
 
Boss utakuwa na mtandao mkubwa sana yote hayo umeyajua ukiwa huku
Dunia ya leo kijiji mazee!!!,hataa izo frem na garage zilizozunguka icho chuo cha kujifunza yasiyojulikana usifikiri ni raia wa kawaida!!! nao ni wa2 wa kazi mzee!! kamera izo,kama unabisha pita hapo alaf fanya mambo yasiyoeleweka hapo uone!!,,,,,,hao kina dada na mafundi wote wana macho yenye"MAKENGEZA"!!!
 
Dunia ya leo kijiji mazee!!!,hataa izo frem na garage zilizozunguka icho chuo cha kujifunza yasiyojulikana usifikiri ni raia wa kawaida!!! nao ni wa2 wa kazi mzee!! kamera izo,kama unabisha pita hapo alaf fanya mambo yasiyoeleweka hapo uone!!,,,,,,hao kina dada na mafundi wote wana macho yenye"MAKENGEZA"!!d

Dunia ya leo kijiji mazee!!!,hataa izo frem na garage zilizozunguka icho chuo cha kujifunza yasiyojulikana usifikiri ni raia wa kawaida!!! nao ni wa2 wa kazi mzee!! kamera izo,kama unabisha pita hapo alaf fanya mambo yasiyoeleweka hapo uone!!,,,,,,hao kina dada na mafundi wote wana macho yenye"MAKENGEZA"!!!
Duuu kumbe mambo magumu sana aiseeee.

Siwezi bisha boss cos sipajui kilipo so sijawa fika.

Siwezi jaribu sumu kwa kuilamba.

😃 😀 😄 😁
 
Back
Top Bottom