Lamzettttt
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,218
- 3,481
Safari moja nilikuwa vijiji fulani Nyanda za Juu Kusini kando ya ziwa Nyasa, nilikutana na shape 2 za kinyarwanda eti zinauza maua.Umesema ukweli mtupu na nililionya hili Siku nyingi sana kwa kuianzishia hadi Uzi hapa JamiiForums, ila GENTAMYCINE sikueleweka lakini sasa taratibu mtanielewa / watanielewa na kujua kuwa Wengine ni Manabii, Wabarikiwa na Waonaji mbali wa Kweli.
Kaomba poo πUkimbipu GENTAMYCINE atakupigia tu.
Mkuu mbona mapema sana πNakufahamu sana ndugu yaishie hapa nakujua unadegree ya matusi
Pk kanda ya ziwa 40% ya madiwani waliochaguliwa uchaguzi uliopita ni watu wake,kuhusu swala la mademu wa kitutsi wanajulikana ila hao wanene ndio nyumba ndogo zaoHakuna lolote. Wako busy na wale mademu wauza fremu.
Unaambiwa PK kajaza watu wake hapa nchini, lakini wamewaacha tu.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Duh! Halafu wanajigamba eti ya sita duniani.Pk kanda ya ziwa 40% ya madiwani waliochaguliwa uchaguzi uliopita ni watu wake,kuhusu swala la mademu wa kitutsi wanajulikana ila hao wanene ndio nyumba ndogo zao
Pitia hapa getini nikupe hela ukaniletee vitumbua kwa yule mama pale kwa mbeleNgoja sasa GENTAMYCINE nijiandae kwenda zangu Site Mapinga kujenga Nyumba za Watu ( nikiwa kama Saidia Fundi ) nikipitia njia niipendayo ya Boko Magengeni kisha naingia nayo kuelekea Mbweni Malindi kupitia Chuo cha Mafunzo Yasiyojulikana nivuke Mto Mpiji na nikatize Kiaraka kilipo Chuo cha Makomandoo hadi nifike zangu Kiembeni na mwishoni nikite Kambi katika Center maarufu ya Mchango wa Hela.
Kama Israel ina Idara ya Usalama wa Taifa tishio na mahiri duniani lakini Wajanja wa Hamas wameweza Kujipenyeza, Kujipanga, Kuratibu Nashambuliwa na kufanya Kilichofanyika vipi kwa yale Mataifa mengine ( hasa Barani Afrika ) ambayo mengine Kutwa yanatamba au Watendaji wao wa Usalama wa Taifa Wanatamba mitaani huku Wakijiamini kuwa Idara yao ni Kali na kwamba kamwe katika hizo nchi zao hakuna Adui atakayeweza Kuingia wakati kuna baadhi ya hizo nchi ( GENTAMYCINE sizijui ) kwa sasa maeneo yao Nyeti ( ya Kambi ) kumejengwa Fremu za Biashara za Kupangisha na kuna zingine hadi zina Gereji za Bajaji, Pikipiki na hata Gari.
kwani israel nayo si inapata support kutoka USA na nchi nyingine za Ulaya, sasa shida nini?bila msaada wa Waajemi/Persian/Iran Hamas hawatoboi.
Hapo hamna akili ndugu ni taira huyoπ naweza ni kala ban huyu na wale moderators ni kitu kimojaMkuu mbona mapema sana π
Acha hizo huyu popoma hamna kitu ni keyboard warriorKaomba poo π
kwa hiyo Israel iishughulikie Iran?bila msaada wa Waajemi/Persian/Iran Hamas hawatoboi.
Hata israel bila msaada Usa + uk hatobibila msaada wa Waajemi/Persian/Iran Hamas hawatoboi.
Kama wamezungukwa pande zote kisiingie kitu na silaha zimeingia unakuja kuuliza chakula watapataje broSina hakika kama Palestine walijiandaa kwa akiba ya Chakula ya kutosha!
Huyo handsome alishasema mara kibao usilithi maadui unataka mama arithi huo ugomvi yy anajua chanzo chake?Na huenda mama akampa kipande.
Samia alipata wapi ujasiri kumkaribisha TOLU wakati anajua ni adui mkubwa wa handsome?
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Possible walichimba mahandaki wakapita chini Kwa chini Kwa juu ardhini wasingeweza kabisaUsiwaamini waisrael, subir wakamilishe mipango yao kwanza ndo utajua Intel yao ipoje na kwann waliruhusu Yale yatokee.
Huko maitaifa ya bara lile haya hayawezi tokea ardhi ipo ya kutosha mihadarati sio issue we uza tu kikubwa top leaders wawe na parcents yaan sioni sababu ya unayoyasema kutokea
Akiba ππKama wamezungukwa pande zote kisiingie kitu na silaha zimeingia unakuja kuuliza chakula watapataje bro