Mkuu sio kwamba HAMAS Walifanikiwa au ISRAIL walikuwa hawana taarifa mzee baba!!! shirika lao la kijasusi la MOSSAD kwa kushirikiana na MAJASUSI wa MISRI walishanusa na wakatoa taarifa kwa NETANYAU,na NETANYAU akaitisha kikao cha siri cha usalama,,lakini kutoka na ISRAIL kutafuta kila njia kuichukua GAZA na kuogopa lawama za DUNIA,,wakaona hii ndio fursa,so wakakubaliana watulie tu!! ila jamaa wakitekeleza tu shambulio{HAMASS} basi ISRAIL apate sababu ya kuibomoa GAZA,kuijenga upya baada ya ushindi,kuitawala na kujipanua!!!!!"THINK CRITICALLY!!!!!!!!!!!!!!!